Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanadhani tumelala kumbe wao ndo wamelala
sasa nyinyi muko na madini kila pembe ya nchi na ardhi yenu iko fertile... still bado munapitwa na nchi ambayo haina madini yoyote ya kujivunia na ni nusu jangwa.
kill yourself
 
But we do feed you, remember??
 
Buda, wewe endelea tu kuongea Kiswahili. Ile chenga kiingereza kimekupuga hata Messi mwenyewe akiiona atajishika kichwa kwa mikono yote.
Hahahhaa sasa hutaki kuskia ukweli au?????
Hata ukiangalia modern buildings dar ni nyingi kuliko nairobi na huo ndio ukweli😀😀😀😀😀
Budaa kwan nimekuzaa Mimi?????
 
sasa nyinyi muko na madini kila pembe ya nchi na ardhi yenu iko fertile... still bado munapitwa na nchi ambayo haina madini yoyote ya kujivunia na ni nusu jangwa.
kill yourself
Sindio kazi imeanza sasa just 10 yrs munahaha je ingekua 20 hahhahahhahha
 
Hicho cha Nairobi sio kiswahili boss
Ni ki-kilifi.
Hizo ni zuga tu huyo jamaa hua anajiona mjanja sana kumbe mshamba sijapata ona
Maana hata ushindani wake kwenye over 20 floors niliona wakijinga sana....nilimwambia kama wewe mwanaume unaejiamini tuanze upya mm nawewe kwan alirudi, hakurudi kwasababu anajua ukweli
 
When people avoid arguing with you because you're dumb, stupid and not knowledgeable, you think it's because they're scared of you. Kweli ujinga hauna tiba.
 
14900439_314465715612763_8382326479347654555_n-1.jpg
 
When people avoid arguing with you because you're dumb, stupid and not knowledgeable, you think it's because they're scared of you. Kweli ujinga hauna tiba.
Ujinga hukosi wewe unaejifanya mjuaji sana nilikwambia wewe unaujuaji wakishamba ndio maana kwenye over 20 floors Kule niliona mapema bado kifua chako kidogo kua uyaone kwanza.........punguza ujuaji
einstein-png-17.png
 
View attachment 509285

Hamna vya kwenu no wonder nyie kajazana hapa Kenya news and politics thread kuona yepi halisi kutoka Kenya.Basi si mrudi nyuzi zenu? Hamna lolote ni kutroll tu kazi yenu usiku kucha mchana kutwa......Tukinyamba nyie ndo wale nyuma yetu mwanusia ......
 
Ichoboy ni Kama kipofu aliyefungua macho akaona punda. Na Sasa kila kitu ni kusisitiza Kama punda. Aambiwe Sandton imejengwa vizuri... Yuko Za Kama pspf ya 2017
 
Back
Top Bottom