tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Wacha banaKiswahili ya pwani ya kenya ndio ipo sawa especially kilifi-malindi.
Kiswahili ya pwani ya kenya ndio ipo sawa especially kilifi-malindi.
bado hakipendwi na wazungumzaji wa kiswahili kama wanavyokipenda kiswahili cha tanzania chenye madoido ya uzungumzaji.Kiswahili ya pwani ya kenya ndio ipo sawa especially kilifi-malindi.
matumizi ya "r" na "i" ni moja ya madoido(swag) yanayofanya kiswahili cha tanzania kiwe na mvuto EA kuzidi kiswahili cha nairobi,mombasa na malindi.Juu nadhani ni tofauti sana...nielimishe basi.
Wale huchanganya "r" n.a. "l" hutoka wapi?
kuna mpuuzi mmoja hapo juu anajaribu kuleta ubishi wa kijinga,ndio najaribu kumuelimisha.samahani wembe1.Tunalinganisha Kiswahili au Dar na Nairobi
Kiswahili cha Mombasa in tamu sana..nyinyi instead ya bla bla......mnasema bra bra bra braUsifananishe kiswahili cha tz na upuuzi
In fact reporters 90% wa BBC ni wakenya...wazungu wanajua kiswahili niya Kenya...so story zako za kumake up jiekebado hakipendwi na wazungumzaji wa kiswahili kama wanavyokipenda kiswahili cha tanzania chenye madoido ya uzungumzaji.
Ulimsikia nani?Kiswahili cha Mombasa in tamu sana..nyinyi instead ya bla bla......mnasema bra bra bra bra
Waimbaji wenu..Mombasa utaskia kiswahili ya upuzi hivoUlimsikia nani?
Huna point bro hebu pumzika tuWaimbaji wenu..Mombasa utaskia kiswahili ya upuzi hivo
we waongea vipi?Ulimsikia nani?
Mbona mnanichanganyia madesa siwaelewi?we waongea vipi?
Ndiomadesa?