Kazi ya watu wa Nairobi ni matusi hapa na midharau kaa mbuzi!! Sasa wivu na unafiki unawasumbua watu wa Nairobi kujisifia kumbe zero, Ati Mombasa na DAR wendawazimu kabisa huu, wameshindwa kuja na facts wanaleta maneno ya Khanga hapa.
Mada inajielezea hapo nini cha kufanya ila bado hata kusoma hawawezi kabisa wamekodoa tu, Annel niseme tu unanibariki sana tena sana tu kwa kuwa Mzalendo kwa Nchi yetu wengine hapa ni Bongolise ila sasa hata hawajui kwa nini ni Watanzania nonsense!!
More once again you Kenyans come here bring what you have in Nairobi and we do so then tutaangalia na kujifunza mengi katika haya majiji mawili. Sasa mnaachama nini leta facts mtushinde kwa facts siyo maneno ya Khanga alfu kujisifia kwimgi kumbe, haya mlikuwa mnayaganya miaka mitano iliyopita na sasa mseme tuone!!!