Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miti iwe sehemu ndogo,we unadhani dar hakuna miti???. lakini hiyo ya nairobi ni too much..huo si mji ni msitu

Anyway amazonia si mji,vichaka vipo vingi tu tz,ukitoka nje ya dar utakuta miti na misitu mingi sana lakini si katikati ya jiji...usisingizie schools,school haikusema vichaka viwe all over the city..
 
Sasa wewe unafikiria assumption zako ndio kigezo cha venye watu wanafaa kuishi maisha yao? Nairobi inafaa ata kuongezwa miti hadi ikae hongkong flani. Nyinyi kwa masomo yenu finyu endeleeni kukata miti jijini ndio iskue 'too much'
 
Huyo jamaa anaropoka sana.
Hajui km Dar ni two times bigger kuliko Nairobi.
Hiyo kariakoo tu nahisi ni sawa na district ya nairob moja.
Umesema vyema. Unajua wakenya humu sio wazima wa akili kabisa. Wanasema "tower tatu" kwasababu hizo ziko more prominent kuliko majengo mengine cbd. Hawajui ya kuwa cbd ina majengo mengi tu yenye 20+ floors. Usihangaike na wajinga. Waache waonyeshe ujinga wao na siku wakikua wataacha.
 
As usual the three tower made it to that photo
What the HELL do you want? tupost bila pspf towers, tpa tower na mnf square towers? Kwa taarifa yako, tutaendelea kupost hadi unaingia kaburini. Labda ufanye sijui nini uyang'oe kutoka kwenye foundation zao. Tumeshawahi kuwalalamikia mkipost hizo tower za wachina? mmekosa kingine cha kuflaunt? jitu zima ila akili bado ya kitoto, kua akili maana humo kwenye ubongo ni matope tu yamejaa.
 
Pole sana mimi nimezoea hii yenye iko na tatu
 
Nairobi sio ya building tatu kama Dar,hebu tazama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…