Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans dont understand the cost of building this bridges...kujenga this bridge only ni sawa na almost 200km of tarmac road ...
Yet
Bridges under construction in Tz
New Wami 515meters
Kigogo- Busisi 3.2km
New Selender Bridge 1.03km
Hizo ndo major bridges bado minors under 500meters

Mtu anakuja kujisifia ana barabara...
Hawawezi jua Kule kwao a 50m bridge construction turned into this!

mvkzjoviduzipera5959d29e5fb92.jpg
 
Its very telling that Dar es Salaam's tallest towers are all government affiliated. Sisi Kenya tulipita hilo daraja zamani hivi leo majengo yetu marefu zaidi yamejengwa na private sector.
Kama mlipita huko zamani ina bidi mrudi maana serikali ni wananchi Wanaomiliki tofauti na mabwenyenye hapo kwenu
 
Will will will till when?
 
U posted this last year!

Screenshot_2019-08-22-12-35-07.png
 
Back
Top Bottom