babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,322
- 35,772
Hawa jamaa nadhani huwa wakisikia good news yoyote ya Tanzania huwa wananuna balaa [emoji23][emoji23][emoji23].
Toka wajue TZ ni middle income wamekuwa adimu. Waende tu, wako kama kupe tu