Imagine planning ingefanyika hivi across the country hata hizi dream house zingeleta maana sana.Tatizo Tzn watu wamekariri kwamba wakipima plot basi inafaa wakae watu wenye nafuu ya maisha ambao kimsingi ni wa kutafutiza majority wako kwenye squatters huko na dream houses zaoMitaa flan tu hapa mjn ...View attachment 1183245
Ujenzi holela hata sumbawanga pana nafuu kidogoMtaa huu wanaishi watu wakipato cha wastani
View attachment 1183420
Iyo tender atakaeshinda asizingue tuHaya dodoma sasa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
Tatizo atutaki zile barabara ambazo zipo chini ya level ya ardhi udongo unaingia barabarani na kusumbua watu kufagia mchanga kila kukicha stupid injinia na wakaguzi wakati wa ujenzi tuwe na viwango makiniIyo tender atakaeshinda asizingue tu
ila tatizo lilikuwa vifaa vilishikiliwa dar port!Hahaha nilijua ni Waafrika tu ndio huenda slow mpaka wasukumwe kumbe mpaka wakorea nao wapo hivyo?
Sababu toka JPM awashtukize na kuwachachafya ile siku, saivi naona kama ujenzi unaenda kwa kasi ya rocket! Sikutegemea kuona advancement kubwa hivi kwa kipindi kifupi.
Yeah lakini nasikia wao ndio walidelay kupeleka credentials zao bandarini ili wazimatch kama zinaendana na mzigo uliopo kwenye containers.ila tatizo lilikuwa vifaa vilishikiliwa dar port!
Hii Meli mpya mweZi wa tano iko tayariHahaha nilijua ni Waafrika tu ndio huenda slow mpaka wasukumwe kumbe mpaka wakorea nao wapo hivyo?
Sababu toka JPM awashtukize na kuwachachafya ile siku, saivi naona kama ujenzi unaenda kwa kasi ya rocket! Sikutegemea kuona advancement kubwa hivi kwa kipindi kifupi.
Wakija nibeep.Leo nakuja na Vitu Ambavyo Dar vipo na Nairobi havipo, Picha mojamoja sio utitiriii, Na nyinyi mje na Picha zenu huko Nai, Dar nikizisahau mcomment hapo chini
View attachment 1186178View attachment 1186179View attachment 1186180View attachment 1186181View attachment 1186182View attachment 1186184View attachment 1186185View attachment 1186186View attachment 1186189View attachment 1186190View attachment 1186191View attachment 1186192View attachment 1186197
Iphone gani unatumianext time naomba useme jina la video inaitwaje (mim binafs) nikaicheck youtube!
most times nashindwa kuziplay humu! anyone anaejua namna ya kutatua hii ishu?!?! for reference, natumia iphone! thanks
Toka wajue TZ ni middle income wamekuwa adimu. Waende tu, wako kama kupe tuWakija nibeep.