Uchumi wenye 60% debt to GDP ratio[emoji38][emoji38][emoji38] unasema nao ni uchumi??? Nashangaa kuona njaa inawakojolea kila mwaka
Usinilaumu mm chukua hiii
View attachment 1183391View attachment 1183390
Who told u that muna best man power [emoji38][emoji38] yani nimecheka mpaka basi
Better education standards alaf magorofa yanaangushwa na upepo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Muna better infastructure ya wapi?? ile BRT mulichora na rangi pale thika iko wapi[emoji28][emoji28] maskini pesa za taxpayers
huku tuna dollar billionare wachana millionare[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hio important city ni ipi??? Bila shaka utasema city of slums in the world[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watu wanaishi zaidi ya nguruwe
We have 4 ports and zote ziko under huge expansions huku dar ikiingia kwenye tatu bora africa baada ya expansion kuendelea[emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Endelea kujifariji na kutafuta slum in dar [emoji28][emoji28]