ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
Duh hii mbona slum?Hakuna cha maana hapa[emoji16]View attachment 1166959
Hapa naona vibanda na tower tatu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]CBDView attachment 1167448View attachment 1167449
Can't u see that's industrial area around Gerezani?Tieni bidii angalau mfikie level ya westlandsView attachment 1167466View attachment 1167467
Can't u see that's industrial area around Gerezani?
Hii picha ya zamani!Kiwembe 👇👇👇👇👇View attachment 1167453
Yap ya mudaHii picha ya zamani!
Kupiga picha Old cbd, upper Hill,westlands, kilimani,parklands, Ngara na south C sidhani kama itawezekana,kwa mfano hii ni westlands na inaupana mala dufu zaidi ya Posta,Kariakoo na upanga sembuse Nairobi kwa ujumla?View attachment 1167280View attachment 1167281
Naona mji unesambaa kweli kweli. BRT inawakilisha vizuri sanaUshawahi kufika Dar? Unajua hizo towers zilipo? Dar hamna vichaka ndugu mji umesambaa pande zote
Zoom utuoneshe slum hapo au unafkiri mzungu hakuona slum kwa google earth😆😆😆😆😆Naona mji unesambaa kweli kweli
View attachment 1167521
Hii kijoko na nyama wanafikiri hatuijui. Nyuma ya hizo tall buildings ni uswazi tuKijitonyama yenyewe ni slumView attachment 1167319
Hii kijoko na nyama wanafikiri hatuijui. Nyuma ya hizo tall buildings ni uswazi tuKijitonyama yenyewe ni slumView attachment 1167319