Sasa hii unaita middle class residential
Tafuta kwa google earth kwanza ukipata let me know[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tafuta kwa google earth kwanza ukipata let me know[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Safi sana magufuli lazma tuuze end products ili ajira zibaki tanzania👏👏👏👇👇👇
Yani munapost picha za google jamii forum alaf unaleta link hio ho jamii forum😆😆😆😆😆👇👇👇👇Sasa hii unaita middle class residential View attachment 1165557View attachment 1165559
Deep sea slum itakua slum mpya hii,nyang'au wanaona ufahali sana kuishi kwenye slummzungu aeke sattelite hewani ilio cost billions $ alaf ione nairobi slums isione dar es salaam slum hahaha munamuona mzungu mjinga sana😆😆😆👇👇google earth
DarView attachment 1165029
Nairobi
View attachment 1165030
Dar iko slums nyingi sana na vile hawa wanafik wanapenda kuimba Kibera ,Kibera kila siku.Mscheew , wacheni huo unafik Watanzania .Sasa hii unaita middle class residential View attachment 1165557View attachment 1165559
Dar iko slums nyingi sana na vile hawa wanafik wanapenda kuimba Kibera ,Kibera kila siku.Mscheew , wacheni huo unafik Watanzania .
Kilichonichekesha zile picha mulizopost jamii forum ndio hzo hzo unaleta hapa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] jipe matumaini labda utapata nafuuu
View attachment 1165203
Okota picha za google na ww useme dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nimecheka sana
Zoom hio picha unioneshe slum iko wapi unless hujui maana ya slum[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Yani mzungu aeke sattelite juu asione slum in dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]
View attachment 1165207
Middle class Tanzanian citizens
Ushuzi wa bata[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1165224
Uhahaha naona upper hiill hapo na westland kwa pamoja so unaniambia hio ni density nayo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila wakenya munashida sana akilini hebu pambana na upanga pekea yake[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1165232View attachment 1165233View attachment 1165234View attachment 1165235View attachment 1165236View attachment 1165237View attachment 1165238View attachment 1165239
Hahahahaha picha za jamii forum ndio unaleta hapa ya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yani kwa kifupu dar hakuna nyumba ambazo wall ni mabati , hakuna udongo mwekundu never
Mm hua sikasiriki😆😆😆😆Naona umekasirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]