ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kisa uzinduzi...hamna lingine mzee baba
![]()
Mbona povu linawatoka sijui mutaongea nn safari hii😆😆😆😆
Kisa uzinduzi...hamna lingine mzee baba
![]()
Hua inaniskitisha sana kuona hakuna hata choo cha stend ya mabasi 😆😆😆 ukifika mwembe tayari unaeza sema umeingia choo cha barMombasa huaga inakutesayani unajiskia ufe
Hyo kaitwa ikulu ili aje awe km shahidi tu...au hujui kahongwa
Si hii ni sawa na mombasa uongezee hzo three blue towers
Sasa ni mji gani hapo kwenu mnaweza linganisha na Mombasa?Hua inaniskitisha sana kuona hakuna hata choo cha stend ya mabasi 😆😆😆 ukifika mwembe tayari unaeza sema umeingia choo cha bar








Over 30 mkiambiwa munajikojolea![]()
Tanzania ilijiwekeza sana kusaidia nchi za africa baada ya uhuru na maendeleo yameanza within 13yrs my friend kasome historia ndio utaelewa nyinyi mlipopata uhuru mukajitenga pekeeni na kuanza kufanya maendeleo lakini cha kuskitisha leo hii tukiwauliza ni maendeleo gani nyie mumefanya ndani ya miaka 50 utacheka![]()
Hua inaniskitisha sana kuona hakuna hata choo cha stend ya mabasiukifika mwembe tayari unaeza sema umeingia choo cha bar
Rais wa AFDB ndio aliwakopa pesa mukajenga thika road![]()


Mbona povu linawatoka sijui mutaongea nn safari hii![]()
Maendeleo pekee kenya wamefanya ndani ya Miaka 60 ya Uhuru ni Kuzungumza English.
Vitu kama hivi jirani hawezi mpaka nchi fulanifulani zije kumjengeaView attachment 1160949
Lovely Dar
IMFkwa tanzania waliomba
The Most drunkard President, His dad was the Senior tribal Land Grabber.
Mombasa kuna nn hebu ww nieleleze kwanza mombasa kuna nn zaidi ya portSasa ni mji gani hapo kwenu mnaweza linganisha na Mombasa?
Na mbona over 30 juzi muliishia 10 mukaanza kutafuta pakutokea 😆😆😆 na hapo mchina kawasaidia vibaya sanaOver 30,dar skyline haiwezi...thats why nikakwambia...ukitoa the three blue towers ni km mombasa tuView attachment 1160947