babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Tuipiku kenya kuna nn cha kuipiku kwa mfano na ili iweje, hivi huoni nyie ndo mnaongoza kuleta mada za kuitakia Tz mabaya
Si sasa nyie ndio mwajiona sana kila siku mnataka kuipiku Kenya ,kila mleta mada wa Tz ni kuitakia Kenya mabaya ili mjione mnashinda? Wacha unafiki wewe.



