Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu walisema reli haijengwi👇👇👇
Ila magu ni kiboko aisee
184C5CC2-9347-4433-95FE-3A96072B7102.jpeg
A020D2F4-D1C6-4889-8C84-9E3E25696913.jpeg
C0193535-F78D-4FDD-9171-2415351FF12E.jpeg
89D6BA13-AA02-4BEF-8123-180734546CAA.jpeg
8BB11226-8110-4F02-9AA9-1E0B97572959.jpeg
 
Hio in old town msee, a protected town, zmeshikana na new town hapo

Haya nioneshe ni building gani hapo umepost haipo kwa hii picha ukipata nitag👇👇👇mpaka marina hotel imo ndani hapo
ACEF05EB-0B79-40D3-99B8-29125D27C7E6.jpeg
 
Dar es Salaam yote hiyo wanajiita "biggest city in East Africa" hakuna Google Street view kabisa. So much "pride" for DES kwamba hii Mombasa ndogo imewashinda digitally.
Wewe tatizo lako umezoea kukariri 😆😆 yani kuwepo kwa google street ni umeshinda digital 😆😆😆😆 ndio maana njaa hua haiwaachi salama
 
Wewe tatizo lako umezoea kukariri 😆😆 yani kuwepo kwa google street ni umeshinda digital 😆😆😆😆 ndio maana njaa hua haiwaachi salama
Si sasa nyie ndio mwajiona sana kila siku mnataka kuipiku Kenya ,kila mleta mada wa Tz ni kuitakia Kenya mabaya ili mjione mnashinda? Wacha unafiki wewe.
 
so unafurahia unasahau watu 300 wali drown Mwanza lake victoria.Punda wewe usifurahie watu wakipata ajali
Yani kwa tanzania unaeza sikia ndani ya miaka 10 lakini kwa mombasa pale likoni ni matukio ya kawaida sana
 
Si sasa nyie ndio mwajiona sana kila siku mnataka kuipiku Kenya ,kila mleta mada wa Tz ni kuitakia Kenya mabaya ili mjione mnashinda? Wacha unafiki wewe.

Kuipiku kenya mara ngapi hvi kenya kuna nn cha maana mulipo pata uhuru mulijitenga kujenga nchi yenu muna nn cha maana munaeza kujivunia???😆😆😆 tanzania ilipopata uhuru iliangalia nchi zingine za africa na kuwapa uhuru na imeanza maendeleo within 13yrs time lakini imefanya wonders mpaka dunia inashangaa huoni wivu wewe
 
Yani kwa tanzania unaeza sikia ndani ya miaka 10 lakini kwa mombasa pale likoni ni matukio ya kawaida sana
lake victoria ya side yenu imekua na 4 major accidents na imeclaim more than 1500 lives (let them R.I.P) MOMBASA imekua na one major accident.NUGU.KWANZA YA 1996 ILIUA WATU 894 (LET them R.I.P) kifo haina mpaka.
1.PNG
 
Kuipiku kenya mara ngapi hvi kenya kuna nn cha maana mulipo pata uhuru mulijitenga kujenga nchi yenu muna nn cha maana munaeza kujivunia???😆😆😆 tanzania ilipopata uhuru iliangalia nchi zingine za africa na kuwapa uhuru na imeanza maendeleo within 13yrs time lakini imefanya wonders mpaka dunia inashangaa huoni wivu wewe
TZ was richer than kenya in 70s and 80s but now kenya is double Tzs economy and the gap is growing further with Tz growth expected to be 4% while Kenya 6% (IMF)
 
TZ was richer than kenya in 70s and 80s but now kenya is double Tzs economy and the gap is growing further with Tz growth expected to be 4% while Kenya 6% (IMF)
Tanzania ilijiwekeza sana kusaidia nchi za africa baada ya uhuru na maendeleo yameanza within 13yrs my friend kasome historia ndio utaelewa nyinyi mlipopata uhuru mukajitenga pekeeni na kuanza kufanya maendeleo lakini cha kuskitisha leo hii tukiwauliza ni maendeleo gani nyie mumefanya ndani ya miaka 50 utacheka😆😆😆😆😆
 
lake victoria ya side yenu imekua na 4 major accidents na imeclaim more than 1500 lives (let them R.I.P) MOMBASA imekua na one major accident.NUGU.KWANZA YA 1996 ILIUA WATU 894 (LET them R.I.P) kifo haina mpaka.View attachment 1160564

So 1996 mpaka leo serious ??? Mm nazungumzia likoni vile ajali haziishi mkasema mutajenga likoni bridge iko wapi au munasubiri yesu ashuke??? Toka nimeanza kuiskia likoni bridge ni 15yrs sasa
 
TZ was richer than kenya in 70s and 80s but now kenya is double Tzs economy and the gap is growing further with Tz growth expected to be 4% while Kenya 6% (IMF)
IMF iliomba msamaha kwa kuweka ile report na wamekiri inamapungufu mengi ndugu tanzania economy inakua kwa 7.1% na kenya ni 5% endelea kujipa matumaini😆😆
 
Back
Top Bottom