Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Wewe ubaya wako umepumbazwa na uzalendo za kijinga. Hiyo picha ya UDSM ingekuwa ni picha kutoka Nairobi, mngesema ni misitu lakini kwa vile iko Dar sio misitu. Talking of density, tunajua Dar is slum is only built in the cbd, nje ya hapo ni zile "dream houses" zako zenye mabati zilizochakaaWe umeona huo ni msitu??? Nairobi density yake iko sehemu ndogo sana,so utafananisha density ya dar na nairobi kweli???😆😆😆




