Kwenye miji ya pwani recreation iko baharini na kwenye beaches kama natural resources.Safi sana... Nashangaa kwa nini Mwenzako ichoboy alisema nimehamia picha za miti. Ni Kama hajui kwamba miji zinavutia duniani zote ziko na lots of green spaces and recreational parks. A good city is not just about tall glass buildings
Dar hatuna miti ya jacaranda kama Arusha, Nairobi na Harare kutokana na ya hali ya hewa ya joto. Itashangaza mtu akiuliza kwa nini Nairobi haina minazi.Nimekwambia miti ya rangi hio pink imejaa arusha na moshi unajifanya kichwa ngumu ila utaelewa tu๐๐๐๐
Da jamaa kaniwahi, nilitaka kuanzisha hii biashara ya mabango yanayotembea kwenye box van.
Tukisema nchi inanuka madeni ambayo hayana manufaa kwa wakenya wanakua wakali
Hongera ya ww unaejua huku debt to GDP ratio ni 64%๐๐๐๐Kingereza kumbe kigumu...
New York is a coastal city but it has lots of green spaces and recreational parks. When I talk of recreational parks in green spaces I mean the likes of Uhuru Park, Central Park, City Park, Jevanjee Gardens, 7th Memorial Park, Uhuru Gardens and many others. Name for me any recreational park in DarKwenye miji ya pwani recreation iko baharini na kwenye beaches kama natural resources.
๐๐๐๐๐
Mimi hapa
Dar kuna sehemu kama Mnazi mmoja garden, Dar botanic garden, gymkhana grounds na beaches.New York is a coastal city but it has lots of green spaces and recreational parks. When I talk of recreational parks in green spaces I mean the likes of Uhuru Park, Central Park, City Park, Jevanjee Gardens, 7th Memorial Park, Uhuru Gardens and many others. Name for me any recreational park in Dar
Umekasirika so kwa akili unafkiri sijaelewa maana yake au???๐๐๐Yani hata editors wa magazeti yenu wanalemewa na kizungu!!?? Wangeandika tu kwa kiswahili