Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana... Nashangaa kwa nini Mwenzako ichoboy alisema nimehamia picha za miti. Ni Kama hajui kwamba miji zinavutia duniani zote ziko na lots of green spaces and recreational parks. A good city is not just about tall glass buildings
Hapa nakubaliana na wewe kabisa,miti inapendeza sana kwakwel,unapata kivuli mingine matunda inapunguza joto na hewa inakua safi
 
There's just something about this city.........
1146687
1146688
1146690
1146691
1146692
1146693
e3234f9c07aef9013da9bf0a762aa852 (1).jpg
 
Dar Es Slam ni kubwa tu kwa wingi wa watu lakini sio kubwa zaidi kimaendeleo
Maendeleo gani unayozungumzia wewe? Mna hata mass transit nyie kama BRT? si mnahangaika na matatu kila siku hadi zinakuwa banned kwenye CBD au sio nyie? Maendeleo hayapimwi kwa mdomo au kwa maghorofa bali kwa facilities za infrastructure zilizopo kwenye jiji, public spaces, security, education centres etc. Fikiri kabla haujaongea tafadhali.
 
Safi sana... Nashangaa kwa nini Mwenzako ichoboy alisema nimehamia picha za miti. Ni Kama hajui kwamba miji zinavutia duniani zote ziko na lots of green spaces and recreational parks. A good city is not just about tall glass buildings

Nimekwambia miti ya rangi hio pink imejaa arusha na moshi unajifanya kichwa ngumu ila utaelewa tu💉💉💉💉
 
Back
Top Bottom