Now they should Develop Mwanza,Kigoma at full speed ..they could use good terminals
👌 👏Now they should Develop Mwanza,Kigoma at full speed ..they could use good terminals
I also Think to Improve tourism...Mafia and Pemba should be able to handle Bombardier Q400 so they also need improvments
okay, kwa hiyo hiyo ni spell ya bad luck au? haijalishi kama tukirudi. Tumethubutu na tumefika juu. Mungu pekee ndio ajuaye nini kitatokea usiku wa leo. Siku hazigandi.......Taifa Stars leo wanarudi nyumbani wapende wasipende. Sijui Kama bombadia inaweza kuruka Hadi Cairo ama bado betri ni shiiiida?
Na nimekuwa nikisema Tz na Burundi ni wapenzi sijui wachukue Ndege moja waje wakibembelezana kwa walioyapata na sio michezoni tu mbali hata uchumi zao ni dhaifu.
CCM hoyeeeeee 🤸 🤸
ILa wewe nahisi hata wazazi wako wanajutia nasio kujivunia uzazi wakoTaifa Stars leo wanarudi nyumbani wapende wasipende. Sijui Kama bombadia inaweza kuruka Hadi Cairo ama bado betri ni shiiiida?
Na nimekuwa nikisema Tz na Burundi ni wapenzi sijui wachukue Ndege moja waje wakibembelezana kwa walioyapata na sio michezoni tu mbali hata uchumi zao ni dhaifu.
CCM hoyeeeeee 🤸 🤸
Wanashangaa mbona naikejeli timu ya kijani CCM.🤸😭😭ILa wewe nahisi hata wazazi wako wanajutia nasio kujivunia uzazi wako
Kwani timu yenu itaenda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Taifa Stars leo wanarudi nyumbani wapende wasipende. Sijui Kama bombadia inaweza kuruka Hadi Cairo ama bado betri ni shiiiida?
Na nimekuwa nikisema Tz na Burundi ni wapenzi sijui wachukue Ndege moja waje wakibembelezana kwa walioyapata na sio michezoni tu mbali hata uchumi zao ni dhaifu.
CCM hoyeeeeee [emoji1732] [emoji1732]
Angesajiliwa Yanga tuweze kuwatandika Hawa masimba.Best players in East and Central Africa play in Tanzania Premier League.View attachment 1144041
Round of 16. Ama hujui zinaingia timu tatu? ya mwisho(bongolala, nkurunziza) nyumbani 😂. Tutakula Bata siku kadhaa zaidi. thanks againKwani timu yenu itaenda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Du!! timu 3Round of 16. Ama hujui zinaingia timu tatu? ya mwisho(bongolala, nkurunziza) nyumbani [emoji23]. Tutakula Bata siku kadhaa zaidi. thanks again