Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubungo interchange
Kitu kinanyanyuka
IMG_20190626_175211_660.jpeg
IMG_20190626_175139_268.jpeg
IMG_20190626_175120_009.jpeg
IMG_20190626_175051_848.jpeg
IMG_20190626_175032_684.jpeg
IMG_20190626_175008_578.jpeg
 
Wewe mbukinya naona umeamua kwenda google kutafuta msaada
Kwetu huku bongo hiace zimebaki kuwa history yaani nyie huwa mnakaa nyuma yetu always
Eti google...bwahaha...kwanza vile vya tanga horo horo na tanga mombasa vimechakaa kinyama...we utamdanganya nani
daladala-1.jpeg
 
Battle ni kenya vs tanzania
Si kenya vs tanganyika

Unapoizungumzia tanzania ni tanganyika na zanzibar
Ukiizungumzia tanzania huwezi kui exclude zanzibar labda tu uwe hukuwahi kwenda shule
Umeelewa mbukinya
Uzi ni wa tanzania bara vs kenya...km mngelikuwa mnataka kuchanganya mpka zenji...

Ongezeni neno muungano
 
Duh!!yani mpka una urafiki na hao jamaa santa sana...

Lkn km ni mambele mbna jamaa wanajisema tu...km hujawai kwenda hko au hata kupata nafasi ya kujumuika hao jamaa utayaona mageni...bt kw wanaowajua tabia zao mbna hawashtuki..

Labda hku kwetu...mi ukiniambia hvo hku kwetu(afrika) kwnza unakula kibao,mtama kisha maelezo badae ..unanipa issue hzo nikusaidieje
Wapi wewe, mbona nakupakuaga mara kwa mara tu.
 
Msikieni huyu mbunge wa kenya joto la magufuli linamuunguza katoa maneno machafu kuhusu tanzania💉💉💉

 
on the contrary, Mwenzako niliyemtaja ndio wivu imemfika kooni. Kuna picha moja ya Nairobi ililetwa hapa inayoonyesha miti kila upande akawa mwepesi sana kusemakwamba Nairobi ni mzuri na hakuna kilichoko ndani. Ndio maana nikalinganisha na hiyo picha ya Dar inayoonyesha sehemu kubwa kuwa na miti na nikaamua kumuuliza Kama Dar pia ni msitu
 
Back
Top Bottom