Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani nimewaza hapa nikahisi itakua kuna biashara haramu huyo jamaa alikua anaifanya sasa ikaguswa ndio maana alitaka kuwafukuza waTz [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekwambia hii miaka mitatu ya jamaa wamesugua gaga kisawasawa hawana hamu na uncle magu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
SiliconDar
1139708
 
Nakuru
 

Attachments

  • 40164217_2142778902711338_8768954751657181184_n.jpg
    40164217_2142778902711338_8768954751657181184_n.jpg
    73.1 KB · Views: 28
  • 56811397_1291877574296999_6232782060927320064_n.jpg
    56811397_1291877574296999_6232782060927320064_n.jpg
    43.5 KB · Views: 27
Msikieni huyu mbunge wa kenya joto la magufuli linamuunguza katoa maneno machafu kuhusu tanzania💉💉💉


naye ni tunda pori 😂😂 This man wants to see in private sector in Tz all CEOs are Kenyan and in Kenya CEOs are Kenyan 😁😁
 
Out of topic. Kila la heri harambee stars niko nanyi leo, watanzania wenzangu samahani ,siwezi kuvumilia upumbavu wa bashite na ccm wenzake siasa kila mahali hadi kwenye mpira tufungwe tu pumbavu
Zao
 
Back
Top Bottom