Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wale wa Dar mchana mpo?
source: Twitter
D9zUNmDX4AAvJUq.jpg
D9zUNmIWkAA2PZM.jpg
 
Wewe umeeka kampuni nne tu zenye videge vya kijinga halafu unatarajia nipost zingine sasa zishindane na nini wakati hamna ndege labda upost bajaji.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeeka coastal, auric, tanzan air, tropical air, flight link, precision
 
Sio tatizo lakini ni tanzanian owned company[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] una jingine mbona kq share hamusemi hapa inamilikiwa na kina nani???

Miaka 50 ndege tatu tu [emoji1][emoji1][emoji1] tafuteni mchawi
Hatuzungumzii KQ ,KQ is our first born and he has made us proud.hapa tunazungumzia watoto ambao wamezaliwa nyuma ya KQ.
 
[emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bwahahaa...hatuwezi kubali uvuruge mada please[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuletee ndege zenu...


Nasubiria...km huna utuambie tu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
We ni kipofu au vipi? Ama Una kichaa? Ungesoma nilioandika ndio nikapost hungeniquote. Acha nikusaidie tu inaitwa aberdair service.
Ww unaokota picha ovyo inamaana unataka kutuambia hii ni kampuni moja[emoji38][emoji38][emoji38] na initea jina gani?????
 
Tunanunua tukisajili na 5H ili nanyi kama ndugu zetu tuwape matumaini ya kuishi na kuona kwamba mnamiliki ndege.
Tanzania na Kenya sio ndugu, ila ni majirani tu, Tanzanian ndugu zetu ni SADC countries na Uganda, hao tuliwakomboa toka mikononi mwa wauwaji. Kenya ndugu zenu ni Somalia na South Sudan.
 
Umerudia picha sana yaani mtu hadi unajivunia kwa helicopters [emoji23] [emoji23] . Ni almost meaningless kuwa na a failing national carrier huku ukijivunia private companies za ndege. Nyie si mnamiliki ndege tatu tu for the lat what? 50 years? Sisi hatukuwa na shirika lenye bahati saaana ila tumeshawashinda kwa umiliki wa ndege nyingi.
Hahaaa naona wivu umekufurisha mashavu kama maiti aliekosa ndugu ,unamwaga povu kisenge.
 
Back
Top Bottom