Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunanunua tukisajili na 5H ili nanyi kama ndugu zetu tuwape matumaini ya kuishi na kuona kwamba mnamiliki ndege.
Kununua shares ndio munafkiri mushakua wamiliki tena aliewauzia shares 40% alikua na akili sana baada ya kuona ametumba akawauzia ili mugawane hasara😆😆😆😆 naona hushangai kq watu kua na shares zao hapo 😄😄😄
 
we si ulisema aviation industry?
Kwa usafiri wa anga wa ndani ,mkoa Kwa mkoa ,zile ndege zote nimepost haziendi new York, China or Europe.ni hapa tu Kenya na pia pengine kuchumbiachumbia kidogo Kwa jirani maana wasichana warembo wanaonekana huko.
 
Tanzania na Kenya sio ndugu, ila ni majirani tu, Tanzanian ndugu zetu ni SADC countries na Uganda, hao tuliwakomboa toka mikononi mwa wauwaji. Kenya ndugu zenu ni Somalia na South Sudan.
Ubishi wako haubadili chochote,licha ya kua Kwa muungano wa sadc huna uhusiano wowote na mtu wa southern Africa.yapo makabila kenya na pia yanapatikana Tanzania hao ni mandugu hadi Yesu arudi.
 
Hata wenzako wanakushangaa humu,Ila nakwelewa huna uwezo ya kusoma,once a bongolala always a bongolala.
Nakushangaa sana unarudia pic mara unapost pics bila majina yani random vipi bro 😆😆😆 tatizo lenu ni bado munamawazo ya usingizi kua hii bado ni ile tz ya 90s kumbe mambo yamebadilika kimya kimya
 
Tz sai iko km vile kenya ilkuwa 90s
Nakushangaa sana unarudia pic mara unapost pics bila majina yani random vipi bro tatizo lenu ni bado munamawazo ya usingizi kua hii bado ni ile tz ya 90s kumbe mambo yamebadilika kimya kimya
 
Back
Top Bottom