Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamuwez post kwasababu munamiliki ndege 3 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] shirika lina miaka 50 linamiliki ndege3 wakat air tanzania imefufuka juzi ina ndege 8 brand new[emoji3][emoji3][emoji3]
Bwahahaa...hatuwezi kubali uvuruge mada please[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuletee ndege zenu...

Nasubiria...km huna utuambie tu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Bwahahaa...hatuwezi kubali uvuruge mada please[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuletee ndege zenu...

Nasubiria...km huna utuambie tu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Alaf mulivo wajinga baada ya shirika kusugua hasara miaka 7 leo hii ndio munatoa ukweli kua munamiliki ndege 3😆😆😆😆 baada ya maji kufika shingoni
 
Alaf mulivo wajinga baada ya shirika kusugua hasara miaka 7 leo hii ndio munatoa ukweli kua munamiliki ndege 3[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] baada ya maji kufika shingoni
Rudi kw mada please....hatuwezi kubali uvuruge mada...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rudi kw mada please....hatuwezi kubali uvuruge mada...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Twende nasubiri aweke tuendelee msaidie mwenzio😆😆😆😆

Kwenye bus nimewahenyesha hamuna hamu😀😀😀😀
 
Alaf mulivo wajinga baada ya shirika kusugua hasara miaka 7 leo hii ndio munatoa ukweli kua munamiliki ndege 3😆😆😆😆 baada ya maji kufika shingoni
Nataka nikuombe ruhusa uchangie kwa Uzi ninaotaka kuanzisha wa Dar es salaam vs Westlands .
 
Twende nasubiri aweke tuendelee msaidie mwenzio[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwenye bus nimewahenyesha hamuna hamu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unamsubiri...kwhyo umekubali km umeshindwa...manake umeletewa mashirika km kumi hv...wewe umeleta mashirika matatu pekeake...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Unamsubiri...kwhyo umekubali km umeshindwa...manake umeletewa mashirika km kumi hv...wewe umeleta mashirika matatu pekeake...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Tatizo lenu nyinyi waoga sana yani munaiogopa tanzania kama ukoma😆😆 hii thread ilipoanzishwa mulianza kwa dharau sana ila sasa hvi akili kichwani

Twende kazi acha porojo😀😀😀
 
Bora picha zako zisiwe na zile tower tatu(juu hio ndio Dar) sawa mkuu? Twende kazi
Yani kwa namna yoyote density ya dar kwa magorofa kusanya nairobi weka mombasa alaf changanya na kisumu😆😆😆
Na thread uandike nairobi kisumu and mombasa vs dar mm nakuja
 
Wewe unaona asilimia ngap hapo 😆😆😆 ushaanza kilio na hio ni bearth no 2
Ama kwei magu anawanyima usingizi
Sijaiona berth naona yellow jacket kwa Twitter...
Back to topic
Westlands

DNNAIROBI0205.jpg
images (5).jpeg

Dar es Sluum
D
dar-es-salaam-tanzania.jpg
 
Tatizo lenu nyinyi waoga sana yani munaiogopa tanzania kama ukoma[emoji38][emoji38] hii thread ilipoanzishwa mulianza kwa dharau sana ila sasa hvi akili kichwani

Twende kazi acha porojo[emoji3][emoji3][emoji3]
Haya twende sasa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom