Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado hamtoshi mboga. This is our freedom airline.
FB_IMG_1561307336554.jpeg
FB_IMG_1561307316604.jpeg
FB_IMG_1561307344003.jpeg
FB_IMG_1561307249121.jpeg
FB_IMG_1561307255213.jpeg
FB_IMG_1561307274823.jpeg
FB_IMG_1561307207276.jpeg
FB_IMG_1561307217951.jpeg
FB_IMG_1561307244518.jpeg
 
Tulizana nikupe dawa kwenye bus nimekukanyaga na hapa ntakukanyaga pia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] miaka 50 kq inamiliki ndege 3
Miaka 50 mnamiliki nini? Sisi tumejipanga my friend hata leo KQ ikafilisika wapo watoto wengi tu ambao watachukua nafasi na kupeperusha bendera.
 
Miaka 50 mnamiliki nini? Sisi tumejipanga my friend hata leo KQ ikafilisika wapo watoto wengi tu ambao watachukua nafasi na kupeperusha bendera.
Mumejipanga kwa kumiliki ndege tatu kq miaka zaidi ya 50😆😆😆😆 sio ikafilisika ishafilisika na sasa inaendesha hasara miaka 7 mfululizo
 
Tulia na tukitoka hapa tunaingia kwenye marine sasa nikawakamue mabusha[emoji38][emoji38][emoji38]
Lianzishe twende nalo...
Lkn kw reli hatujasahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh!!!mazee hawa jamaa watupu kinyama walai...wajua mpira kufungwa ni kawaida..lkn mchezo walioucheza leo hawa jamaa...hadi nimeshangaa waliingiaje afcon wajameni..so sad walai
Jamaa anaweka hadi precision airline hajui kama tunaimiliki 41.23%[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Lianzishe twende nalo...
Lkn kw reli hatujasahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Reli ndio usiongee kabisa heri utulizane tu kinachojengwa hapa tanzania itawachukua miaka 50 kuipata
 
Sio tatizo lakini ni tanzanian owned company[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] una jingine mbona kq share hamusemi hapa inamilikiwa na kina nani???

Miaka 50 ndege tatu tu [emoji1][emoji1][emoji1] tafuteni mchawi
Usikwepe mada kw maneno ya vijiweni kaka...tulia kwenye mada....

Ywalia na KQ na wakati hatujai post...ywafikiria akiitaja taja tutasahau mada...bado tumpe batoto badogo ba kwetu bwana....[emoji382][emoji382][emoji382]
 
Hamuwez post kwasababu munamiliki ndege 3 😆😆😆😆😆 shirika lina miaka 50 linamiliki ndege3 wakat air tanzania imefufuka juzi ina ndege 8 brand new😀😀😀
 
Reli ndio usiongee kabisa heri utulizane tu kinachojengwa hapa tanzania itawachukua miaka 50 kuipata
Mbna unakataa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ama waogopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilianzishe
 
Mbna unakataa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ama waogopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilianzishe
Hakuna mtu anaogopa madamu tunajenga the modern electric bullet train in africa hapo utasugua gaga mpaka ujio wa yesu😆😆😆
 
Back
Top Bottom