game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,240
- 26,751
Britam tower
How tall it is, How many Storeys?
Britam tower
Ask kenyatta budaa😆😆😆 alieuza nchi kwa wachinaFor how much?
How tall it is, How many Storeys?
Britam tower
33 floors
Go and read about kenya national sports fund
Ndio hii umeleta😆😆😆😆😆 narudia swali tena atoker nkenya aniletee hospital kubwa na ya kisasa kama hii yenye 1000beds nje ya nairobi👇👇👇👇Hawa wasee nawambia kenya kila county iko na referral hospital... wao hupagawa tu daily na wacha hospitali pkeake...kila county iko na town moja au mbili...ama hata zaidi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1133365View attachment 1133366View attachment 1133367View attachment 1133368View attachment 1133369
Unajua maana ya kuomba...heheheee!!!hakuna siku nyangau ataweza kuomba kitu ambacho anakitolea hela...eti naenda dukani kisha nisema naomba...kwn ni bure...
Leta link hapa budaa wacha siasa😆😆
Wameomba wauziwe sasa niuamuzi wetu kuwauzia au kutowauzia ni
Sijaona sehemu imeandikwa kua harambee stars wamepewa 300m sijaona bro😆😆
C muache basi
Kwani mnafikiri nyinyi pekee ndio mko mahindi
Uganda wako na mahindi pia
.How can it be taller than 40 storey building?
Sijaona sehemu imeandikwa kua harambee stars wamepewa 300m sijaona bro😆😆
1 Kes = 22.5 tes, so 370 million ni exactly 16.4 million KES, si 175 million. Shillingi moja ya kenya haiko exchanged na mbili za TZ bruhHio ni 175m ksh bro usijichanganye😆😆
With mnara juu 60meters😆😆😆
tpf ni 157m ama 152 m accorfing to different sources.
because britam tower is 200m high and tpf is 175m high
verbal diarrheaSasa nimejua kwa nini akili zenu hazieleweki. Meshaathirika na manipulations za maneno ya kikoloni, hadi huruma. Ila watu ambao wanawapaga makavu live ni wachina.
Maneno ya mzungu kama scripts vile, akikutamkia yanaanza kumanipulate ubongo wako unaanza kufanya atakalo, jambo jema ni kwamba it does not work on us.
Yaani vichwa vyenu ni sawa na windows huku vyetu kama ubuntu, haturuhusu mzungu atumanipulate kijingajinga. Endeleeni kutuita wajamaa hivyohivyo huku mkiendelea kuwa vulnerable mpaka ifike siku mnajikuta hamjielewi kama nchi ni yenu au la!
unafaa unionyeshe heshima. Uko honored kuhave a dialogue na mimi. Unaongea na equal wa Kasparov na akina NewtonBado kidogo tu ungekua retarded [emoji23][emoji23][emoji23]