Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1131681
kwani umeambiwa mi msomali?
Kaka mtanzania nakuheshimu sana kwa kutambua hili ...huu ndio mwanzo wa kusonga mbele tambua hali yako na kuikubali Kisha weka mikakati ya kujiinua.. Kuna sehemu kadhaa ambazo tz imeishinda Kenya kama vile kiswahili sanifu.. Nchi kubwa.. Amani.. Uimbaji.. Kwa haya niliyo ya taja.. Ukimsikia mkenya yeyote akijisifu Kwa haya.. Huyo basi ni mpumbavu...kwa hiyo tukubali ya kuwa Kenya iko Juu ya tz Kwa mambo kama bara bara, majengo.. Uchumi nk
 
Fungua uzi wa hospitali
Kwanza nitaftie hospital kubwa kama hii nje ya nairobi yenye over 1000beds👇👇👇 ukipata nitag tuendelee

Bugando hospital mwanza

BD55D90D-E02D-40C2-8984-5E7069D0B28C.png
13372E71-B6A3-480B-A229-A1373112F9C2.jpeg
 
Umeogopa ukipata hospital kubwa ya kisasa kama hii yenye over 1000 beds nje ya nairobi nitag[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
Fungua uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fungua uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sina muda wakufungua uzi sio kazi yangu hio kama huwez kulet hispital ya kisasa kama hii nje ya nairobi yenye 1000beds pole yako😆😆😆😆👇👇👇👇

D1E76C35-56FC-4643-8467-CCA74F1DCC5A.png
EE681185-6F97-4CD6-8195-AD4DFA5FC383.jpeg
 
Unataka kushindana na tanzania kwenye hospitals utapasuka budaa😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom