Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani tangu lini mtanzania akamuuliza mkenya Kama eti ameeingia darasani! Wakati nyinyi kuzungumza kizungu Shida tupu.. Kustawisha uchumi Shida tupu..watanzania wengi huja Kenya kwa Masomo ya Juu
Kumbe kuingia darasani maana yake ni kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha?, (Not yet Uhuru. By Jaramogi Odinga)
 
Asanteni kwa kuwaleta tanzania[emoji122][emoji122][emoji122]

View attachment 1130976
Mbona ni kawaida yao kuja kutibiwa Tanzania?, wamehazana sana pale Ocean Road Cancer Institute, wanashangaa kuona Hospital kubwa na ya kisasa yenye vifaa vya kisasa kuwa ni public Hospital, wananchi wanatibiwa bure. Kwao Hospitali kama hii ni Private kwa wenye pesa tu.
 
Kama unaona haina faida kwako nani kakulazimisha kukomenti. Umekosa thread unazotaka wewe????.
Kafungue thread yako basi mwanafalsafa msomi.
 
natafuta mabinti wazuri kutoka pande zote nairobi na dar nikajua nitapata humu kumbe ni midume mnabishania ukwaju anyway bado nina imani watakuja kwahiyo nawasubiri
Usijitetee ushasema we ni demu usitufanye wajinga
 
Huyu zwazwa watu wanamla kisamvu kashasema ye demu
 
Wewe kama nani??????
 
Bado Haieleweki Lisu Atapelekwa Wapi Muhimbili Ama Nairobi.mp3
 
Kwa ujinga wake alikimbilia Private Hospital Nairobi, aligundua hawana uwezo wowote ule, ikabidi akimbie haraka sana. Tunalinganisha Public Hospitals za Kenya na Tanzania, huko Kenya alikuja ktk private Hospital, wakenya wakija huku wanakuja kwenye public Hospitals.
 
Kenyatta National Hospital is the biggest referral hospital in East Africa.

Share this story:

Kenyatta National Hospital is the biggest referral hospital in East Africa.

Share this story:

Hahahahaha, hiyo ni kama kaburi, ukiingia hapo unakufa, hakuna Huduma yoyote, hata Ultrasound machines hazifanyi kazi.

Muhimbili tunafanya procedure inayojulikana Kama, "Cochlear inplant", onyesha kama kuna public Hospital yoyote Kenya inafanya hiyo operation.
 
East africa kenyatta huwez ilinganisha na hospitali yyte ile ya kiserikali
 
East africa kenyatta huwez ilinganisha na hospitali yyte ile ya kiserikali
Kama tulivyowapiga bao katika Airport mkiwa mdomo wazi, katika hospital tuluwapita zamani sana, huwezi linganisha hospitali la zamani hilo la miaka ya 60s na high tech modern Hospital kama hii. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
 
Hebu tumia akili kidogo.

Hiyo ilikuwa Kwa sababu ya usalama
 
Kama tulivyowapiga bao katika Airport mkiwa mdomo wazi, katika hospital tuluwapita zamani sana, huwezi linganisha hospitali la zamani hilo la miaka ya 60s na high tech modern Hospital kama hii. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Wuhuhuuuu!!!narudia tena...huwez linganisha kenyatta hospitali na hospitali yyte ile ya kiserekali east and central africa...
 
Wuhuhuuuu!!!narudia tena...huwez linganisha kenyatta hospitali na hospitali yyte ile ya kiserekali east and central africa...
Hahahahaha, kama ambavyo huwezi linganisha Kasarani stadium na National Stadium ya Tanzania, Kasarani ipo juu. Hahahahaha, hahahahaha. Na bado sana, kwasababu yajayo yanafurahisha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…