Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaha, kama ambavyo huwezi linganisha Kasarani stadium na National Stadium ya Tanzania, Kasarani ipo juu. Hahahahaha, hahahahaha. Na bado sana, kwasababu yajayo yanafurahisha zaidi.
Ipo juu ndio...kasarani ina host vitu ambavyo huo uwanja wenu ku host ni ndoto za abunuwasi...

Hhhhhhh!!!wachana na the home of heroes wewe..
 
Fact ni fact Nugu.. Kenyatta is the biggest hospital in East and Central Africa
Hahahahaha, kama ambavyo huwezi linganisha Kasarani stadium na National Stadium ya Tanzania, Kasarani ipo juu. Hahahahaha, hahahahaha. Na bado sana, kwasababu yajayo yanafurahisha zaidi.
 
Fact ni fact Nugu.. Kenyatta is the biggest hospital in East and Central Africa
Nakwambia mtanzani akiwa na toyota succed ya 2018 atajiona yupo juu kuliko yule mwenye ako na range rover sport 2016 series
 
OOOOH! Now I know you guys just love to compare yourselves with us, maybe to console yourselves that you are close. After we beat you in a thread you sensationally come up with another one, We are better than you in every possible way and you know it. Maybe this thread will make you happy for a moment but after several posts you will open another one. I am sure it is not your memory. We have like 10 threads already showcasing this things.
it is these things ....poo watanzania na kizungu kibov
 
Tumeshwazoea watu wa kuangalia mijengo...hyo mijengo ni ya kupumbaza raia tu km mna hospitali nzuri...
Wachana na kenyatta boss..

👇👇👇👇👇👇👇
17D9D009-6ED1-4629-B3F8-355604DE9587.jpeg
 
Tumeshwazoea watu wa kuangalia mijengo...hyo mijengo ni ya kupumbaza raia tu km mna hospitali nzuri...
Wachana na kenyatta boss..
Wewee kenya yetu imeishinda tz kwa kila kitu ..sehem ambayo tu naweza sema mmebobea ni upande wa sanaa peke yake Kama vile muziki na acting ma pia nitasema upande wa kuzungumza kiswahili sanifu, ooh na nchi kubwa na ardhi kubwa yenye rotuba , kwa hayo sito pinga, lakini kwa mabo mengine yote tumewazidi tena sana yaani.

Mtu yeyote ambaye atashinda akipinga kwamba kenya iko sawa na tz ikaishinda kenya atakuwa ni mtu mwenye ambaye hana hekima ya kutosha.
Kuna kipindi flani ambapo tz ilikuwa juu yetu in the 80s lakini sahii mabo kabadilika. na ukweli wa mambo ni kwamba kenya iko juu zaidi, ni vile tu hamja fanya uchunguzi wenu kwa makini.

Halafu kenya pia ni nchi amabayo ina baraka flani ya kipekee, ndio maana ikawa na watu mashuhuri wanao husiana nayo kwa karibu, either ni wakenya ama wana uhusiano wa kidamu na kenya ....

TAZAMA MAJINA KAMA

1.Wangari maathai NOBEL PEACE PRICE WINNER
2.Barrack obama US PRESIDENT
3.Divock origi LIVERPOOL
4.Wanyama TOTTENHAM
5 Lupita nyongo OSCAR WINNER USA

Haya... All the multi national componies wameweka head quters zao kenya


 
View attachment 1130768
halafu hii yaja the tallest in africa upper hill nairobi

Click an image to view larger version.


Figures
Facts
Official NameThe Pinnacle Tower
Name of ComplexPinnacle Towers
Other NamesJabavu Village Tower 1, Nairobi Tower 1, Hass Tower 1, Hass Towers
Structure TypeBuilding
StatusUnder Construction
CountryKenya
CityNairobi
Street Address & MapUpper Hill Road
Building Functionresidential / office / hotel
Structural Materialconcrete
Proposed2015
Construction Start2017
Completion2020
 
wajemeni mimi ni mtanzania kulinganisha nairobi na dar ni kutaka sifa ambazo hakuna kiukweli wametuacha mbali mno wala tusibishane..tulinganishe vitu vingine tujifunze kukubali na kuwa wakweli labda si tuwatambie mahindi mchele hizo hawana ila miundombinu na majengo waache kabisa hatuwafikii kabisa huo ndo ukweli kwa sasa
Unatamani sana kuwa mtanzania
 
Back
Top Bottom