Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
1130585

thika road... ten lane road
 
ndio unataka kusemaje
Nataka kusema unajudge kwa kuangalia picha humu. Unajudge kupitia picha zenye filters huku ukiisanifu nchi yako. Damn, najua huu si ushindani wala nini ila watu kama nyie ndo mnasababisha kuwepo kwa mashirika ya kijasusi duniani.
 
Kwahio address yako ikionesha uko Tz huwezi kuwa mkenya? Mpo wengi Tz tena mnaongea Kiswahili kilichonyooka.
Taifisheni mali yake basi km ni raia haramu..eti jamaa anatukanwa kisa maoni yake hayaendani na yako....upupu mtupu hani...khaaa
 
Nataka kusema unajudge kwa kuangalia picha humu. Unajudge kupitia picha zenye filters huku ukiisanifu nchi yako. Damn, najua huu si ushindani wala nini ila watu kama nyie ndo mnasababisha kuwepo kwa mashirika ya kijasusi duniani.
sijakuelewa aise
 
Nasema kwamba unafanya conclusion kwa kuangalia picha hapa jf au umeshaenda kenya na ukaona?
siwezi nikaandika kitu nisichokijua unafikiri kila mtu anasubiri kusimuliwa kama wewe? Huu ni uzwazwa mnaofanya hapa mnalinganishi hii miji ili mgundue nini hasa?
 
naona umekuja leo humu na unaona kuwa umefika sana. Hatulinganishi miji na hilo ndio kosa wengi huwa wanafikiri kuhusu hii thread. W akati wakenya wamekimbia hii thread kulikuwa na utulivu sana na Watz tulikuwa tunapost vitu vinavyohusu maendeleo ya TZ. Wamerudi wanataka competition and guess what? we bring it on! kama unawashwa kuargue, karibu hapa umefika
 
Nataka kusema unajudge kwa kuangalia picha humu. Unajudge kupitia picha zenye filters huku ukiisanifu nchi yako. Damn, najua huu si ushindani wala nini ila watu kama nyie ndo mnasababisha kuwepo kwa mashirika ya kijasusi duniani.
halafu bila aibu kabisa unaandika naisanifu nchi kati yangu na wewe nani anaisanifu nchi yake sasa

kama kulinganisha miundombinu miradi ya kupigwa ndo umeona issue nakuhabarisha kwamba ndiyo sanifu yenyewe hiyo sasa badilikeni nyie manyumbu wote wa nairobi na dar acheni mipasho jadilianeni vitu vya msingi
 
Hivi umeingia darasani kweli? nimekwambia kuwa sisi hatuna haja ya kushindana na mtu bali huwa tunajadili mambo ya msingi kuhusu maendeleo ya hii nchi lakini dakika ambayo mkenya anakanyaga humu, huanza kudhihaki nchi yetu na kuleta propaganda zisizo na mashiko. Unataka tukae kama midoli? peleka ukichaa wako milembe. Kila mtu humu ni mtu mzima na hauna jurisdiction yoyote kuamua nani afanye nini
 
naona umekuja leo humu na unaona kuwa umefika sana. Hatulinganishi miji na hilo ndio kosa wengi huwa wanafikiri kuhusu hii thread. W akati wakenya wamekimbia hii thread kulikuwa na utulivu sana na Watz tulikuwa tunapost vitu vinavyohusu maendeleo ya TZ. Wamerudi wanataka competition and guess what? we bring it on! kama unawashwa kuargue, karibu hapa umefika
unaweza ukawa humu hata miaka ishirini na usiwe na wazo lolote la msingi,heading tu yenyewe ni battle au hata uelewi unachangia nini?

halafu pia umekaa kimipasho mipasho kama machoko wa kino mwanaume anaanzaje kuwashwa sasa,doh kweli bado itafika stage mtavalishana magauni na madera humu sijawahi ona wanaume wa dizaini hii mnatia aibu tunalalamika kila siku mashoga wanaongezeka kumbe viwanda vyenyewe vipo humu

niombe radhi sijawahi vutiwa na mipasho nawashangaa humu nimeandika tu kuwaasa mbadilike maana mnakoelekea siko
 
Hivi umeingia darasani kweli? nimekwambia kuwa sisi hatuna haja ya kushindana na mtu bali huwa tunajadili mambo ya msingi kuhusu maendeleo ya hii nchi lakini dakika ambayo mkenya anakanyaga humu, huanza kudhihaki nchi yetu na kuleta propaganda zisizo na mashiko. Unataka tukae kama midoli? peleka ukichaa wako milembe. Kila mtu humu ni mtu mzima na hauna jurisdiction yoyote kuamua nani afanye nini
sawa hata mashoga wanadai hako zao na kuna ngo zinawatetea upo sawa kabisa

sasa nikuulize tu swali hii battle intention yake ni nini?yaani unategemea kupata nini kwa kuishindanisha hii miji mnayoitaja humu?
 
Back
Top Bottom