Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asanteni kwa kuwaleta tanzania👏👏👏

9C7F9738-236B-4BBF-B0A3-BE4F9545A18D.jpeg
 
Yaani tangu lini mtanzania akamuuliza mkenya Kama eti ameeingia darasani! Wakati nyinyi kuzungumza kizungu Shida tupu.. Kustawisha uchumi Shida tupu..watanzania wengi huja Kenya kwa Masomo ya Juu
Kumbe kuingia darasani maana yake ni kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha?, (Not yet Uhuru. By Jaramogi Odinga)
 
Asanteni kwa kuwaleta tanzania

View attachment 1130976
Mbona ni kawaida yao kuja kutibiwa Tanzania?, wamehazana sana pale Ocean Road Cancer Institute, wanashangaa kuona Hospital kubwa na ya kisasa yenye vifaa vya kisasa kuwa ni public Hospital, wananchi wanatibiwa bure. Kwao Hospitali kama hii ni Private kwa wenye pesa tu.
 
kama unataka kunibadilisha uraia ni haki yako na utaweza kufanya hivyo kwenye mawazo yako tu ila kiuhalisia haitowezekana

hata hivyo sikulazimishi kuamini ninachojua wewe endelea kuamini hivyo unavyoamini kiongozi. Kwa taarifa tu nimepata bahati ya kutembelea hii miji yote dar na nair kwanza hakuna chochote cha kujivunia mnabishania upuuzi tu hapa

miji yote hii mi naona kawaida ni bora tukajadili vitu vingine mbona vya maana na vya kujenga ni vingi tu tunakomalia kubishania miji tulojengewa na wageni sijui mnaona fahari gani

mkimaliza hii mtakuja na nyuzi za kujilinganisha na misri johanesburg baadae paris na washington kabisa endeleeni tu kusapotiana uzwazwa haya ndiyo matunda ya wanasiasa wa EA
Kama unaona haina faida kwako nani kakulazimisha kukomenti. Umekosa thread unazotaka wewe????.
Kafungue thread yako basi mwanafalsafa msomi.
 
Huyu zwazwa watu wanamla kisamvu kashasema ye demu
Utajidefine kuwa mtu wa namna gani, mfano "wewe ni mshabiki wa arsenal unamsifia lukaku mbele ya mashabiki wa arsenal na man u n then anatokea mshabiki wa man u anasema arsenal hawana wachezaji wa kueleweka"?
Kama kweli wewe ni mtz basi utakua na akili ya kipekee maana kuna post umeandika kuwa ni bora kuwa maskini kuliko kuwa mjinga halafu kuna jamaa kaandika hii post hapa chini kuwa kama ni mtz na hujasoma nje ni mjinga

Kumbuka baba yako, mama yako, wewe mwenyewe, mkeo wanao na kila ndugu ulienae ni mtz. Je wote wamesoma nje?
Hebu mjibu huyu mtu nikuelewe akili yako iko wapi
 
halafu bila aibu kabisa unaandika naisanifu nchi kati yangu na wewe nani anaisanifu nchi yake sasa

kama kulinganisha miundombinu miradi ya kupigwa ndo umeona issue nakuhabarisha kwamba ndiyo sanifu yenyewe hiyo sasa badilikeni nyie manyumbu wote wa nairobi na dar acheni mipasho jadilianeni vitu vya msingi
Wewe kama nani??????
 
Mbona ni kawaida yao kuja kutibiwa Tanzania?, wamehazana sana pale Ocean Road Cancer Institute, wanashangaa kuona Hospital kubwa na ya kisasa yenye vifaa vya kisasa kuwa ni public Hospital, wananchi wanatibiwa bure. Kwao Hospitali kama hii ni Private kwa wenye pesa tu.
Bado Haieleweki Lisu Atapelekwa Wapi Muhimbili Ama Nairobi.mp3
 
Bado Haieleweki Lisu Atapelekwa Wapi Muhimbili Ama Nairobi.mp3
Kwa ujinga wake alikimbilia Private Hospital Nairobi, aligundua hawana uwezo wowote ule, ikabidi akimbie haraka sana. Tunalinganisha Public Hospitals za Kenya na Tanzania, huko Kenya alikuja ktk private Hospital, wakenya wakija huku wanakuja kwenye public Hospitals.
 
Mbona ni kawaida yao kuja kutibiwa Tanzania?, wamehazana sana pale Ocean Road Cancer Institute, wanashangaa kuona Hospital kubwa na ya kisasa yenye vifaa vya kisasa kuwa ni public Hospital, wananchi wanatibiwa bure. Kwao Hospitali kama hii ni Private kwa wenye pesa tu.
Kenyatta National Hospital is the biggest referral hospital in East Africa.

Share this story:

health291209_01.jpg
 
Kenyatta National Hospital is the biggest referral hospital in East Africa.

Share this story:

health291209_01.jpg
Hahahahaha, hiyo ni kama kaburi, ukiingia hapo unakufa, hakuna Huduma yoyote, hata Ultrasound machines hazifanyi kazi.

Muhimbili tunafanya procedure inayojulikana Kama, "Cochlear inplant", onyesha kama kuna public Hospital yoyote Kenya inafanya hiyo operation.
 
East africa kenyatta huwez ilinganisha na hospitali yyte ile ya kiserikali
 
East africa kenyatta huwez ilinganisha na hospitali yyte ile ya kiserikali

Kama tulivyowapiga bao katika Airport mkiwa mdomo wazi, katika hospital tuluwapita zamani sana, huwezi linganisha hospitali la zamani hilo la miaka ya 60s na high tech modern Hospital kama hii. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
 
Bado Haieleweki Lisu Atapelekwa Wapi Muhimbili Ama Nairobi.mp3
Hebu tumia akili kidogo.

Hiyo ilikuwa Kwa sababu ya usalama
 
Kama tulivyowapiga bao katika Airport mkiwa mdomo wazi, katika hospital tuluwapita zamani sana, huwezi linganisha hospitali la zamani hilo la miaka ya 60s na high tech modern Hospital kama hii. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Wuhuhuuuu!!!narudia tena...huwez linganisha kenyatta hospitali na hospitali yyte ile ya kiserekali east and central africa...
 
Wuhuhuuuu!!!narudia tena...huwez linganisha kenyatta hospitali na hospitali yyte ile ya kiserekali east and central africa...
Hahahahaha, kama ambavyo huwezi linganisha Kasarani stadium na National Stadium ya Tanzania, Kasarani ipo juu. Hahahahaha, hahahahaha. Na bado sana, kwasababu yajayo yanafurahisha zaidi.
 
Back
Top Bottom