filter iko wapi jameni tembea ujionee...hii ndio nairobi babaHuwez kupost picha ya nairobi bila filter hata siku moja 😆😆😆😆😆
Leta barabara za Mt Kenya!huko ni githunguri na thats a new road wanaunda. Githunguri is no where near mt kenya mate
filter iko wapi jameni tembea ujionee...hii ndio nairobi baba
huku kunaitwa down town
huku kunaitwa down town
Huwez kupost picha ya nairobi bila filter hata siku moja 😆😆😆😆😆
😀😀🤣🤣😁😁😂😂Kwahio address yako ikionesha uko Tz huwezi kuwa mkenya? Mpo wengi Tz tena mnaongea Kiswahili kilichonyooka.
💉💉😜😜unajishtukia mkuu,mimi sijakutaja wewe.
kwani nawewe ni maarufu kiasi hiki humu!!!
sasa what are these surely ..hii naweza ifananisha na westlands kenya... pepmbeni mwa nairobiiiiii
Matako ya mbuzi wewe😆😆😆😆sasa what are these surely ..hii naweza ifananisha na westlands kenya... pepmbeni mwa nairobiiiiii
Hilo hapo chini ni soko la kariakoo .View attachment 1130518
wee tanzajingans mwaona cities vile za faa kuwa ...hapana zile nyumba tatu huwa mwashinda mkitu postia hapa
akirudi nazo niite.Hilo hapo chini ni soko la kariakoo .
Naomba unionyeshe stendi kuu n a soko kuu la Nairobi ambayo uhudumia watu wengiView attachment 1130559
Socialism a.k.a Ujamaa😕
hii ni njaa ..asa una post mara mbili ndio tuone majengo ni mengi
Tatizo la mitumba hilo,kenya hali mbaya waondoke tu watapata hasara bure hawa