Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enheeee!!kwhyo kenyan sgr ina worth millions...nitajie mwngne...nataka nione ujinga wenu leo..yani game pole pole hamna matusi please
worth billions of borrowed money that you cannot pay. Mombasa port is at stake of being taken by China and all you think about is pride? so stupid, you never learn and you never will, that's who you really are.
 
We hunifai....nenda kamtukane mbowe...mm si mpinzani...najielewa...km wewe una matusi kaa kando..
 
Enheeee!!kwhyo kenyan sgr ina worth millions...nitajie mwngne...nataka nione ujinga wenu leo..yani game pole pole hamna matusi please
Steigler's gorge hydroelectric power station, $ 3.9 billion, our own money.
 
Kwhyo kw kufanya kw mpigo ndicho kigezo cha kuwa nyinyi ni bora afrika nzima...asante sana kw kunijuza km wewe ni ccm machine
Wewe umesema wengine wamefanya, nikakuuliza nitajie nchi moja Afrika iliyowahi kufanya miradi mingi namna hiyo kwa pamoja ili kuitetea hoja yako lakini naona unaleta mipasho tuu.
Kwhyo rufiji ndio dam ya kwanza tanzania au
Hapana, nilikuwa nakuonesha thamani ya pesa (in billion $) inayotumika kwenye miradi yetu. Mradi mkubwa Kenya kuwahi kufanyika ni SGR ($3.6 billion), sisi tuna Rufiji dam $3.9 billion, SGR $1.46 billion. Hiyo miradi yote inafanyika kwa pamoja.
 
Wewe umesema wengine wamefanya, nikakuuliza nitajie nchi moja Afrika iliyowahi kufanya miradi mingi namna hiyo kwa pamoja ili kuitetea hoja yako lakini naona unaleta mipasho tuu.

Hapana, nilikuwa nakuonesha thamani ya pesa (in billion $) inayotumika kwenye miradi yetu. Mradi mkubwa Kenya kuwahi kufanyika ni SGR ($3.6 billion), sisi tuna Rufiji dam $3.9 billion, SGR $1.46 billion. Hiyo miradi yote inafanyika kwa pamoja.
Hajaelewa bado. huyu si alikuwepo na lile kundi la fisi zamani wakasema wameondoka. Leo naona kaingia kona aliyosema hataipitia tena. Mkuu usihangaike na hawa jamaa.
 
Jifunze kitu hapa kiasi
Screenshot_20190616-002621_Opera%20Mini.jpeg
 
Steigler's gorge hydroelectric power station, $ 3.9 billion, our own money.
Businessman I'm surprised you of all people believes that you are using "your own money" hehe. If true then how much was allocated to the project in the recently read budget? Ama hiyo pesa mnatoa kwenye mfuko gani?
 
Wewe umesema wengine wamefanya, nikakuuliza nitajie nchi moja Afrika iliyowahi kufanya miradi mingi namna hiyo kwa pamoja ili kuitetea hoja yako lakini naona unaleta mipasho tuu.

Hapana, nilikuwa nakuonesha thamani ya pesa (in billion $) inayotumika kwenye miradi yetu. Mradi mkubwa Kenya kuwahi kufanyika ni SGR ($3.6 billion), sisi tuna Rufiji dam $3.9 billion, SGR $1.46 billion. Hiyo miradi yote inafanyika kwa pamoja.
Na mi nataka kukujuza ya kwamba...hayo sio maendeleo..bali ni kutaka kufanya vitu kw misifa ili kumuonyesha aliye juu km na wewe una uwezo...

Mtaka yote
 
Back
Top Bottom