Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TPA View 01.png
 
Hamuwez peleka walimu wa kiswahili wakat sisi tupo, south africa ni watoto wetu tuliowalea hapa hapa tanzania
That's why magufuli kapeleka airbus nzima full of books,?, desperation., he forgot that to teach SA lazima ujue kiingereza .,haha now you'll know the importance ya hio lugha ya mabeberu
 
We fala kweli budaa, kama huna proofs huna haki ya kuhoji. Kwa taarifa yako kila mwalimu Mwenye Degree au Diploma ya kufundisha Kiswahili anapiga ngeli kuliko nyie huko mnaoongea kwa kujivuta kama mazezeta
 
That's why magufuli kapeleka airbus nzima full of books,?, desperation., he forgot that to teach SA lazima ujue kiingereza .,haha now you'll know the importance ya hio lugha ya mabeberu
Airbus ndio imekuuma sana au nini kimekuuma ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† tatizo lenu munajifanya kiingereza ni kama lugha yenu nyinyi ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Na sio south africa kapokea mwaliko pia namibia nafkiri ni same issue๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Back
Top Bottom