Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20190525_155011.jpg
 
Aisee hapo pembeni walipopaacha nilikua najifikiria Kwa nini wasipige Pavements kwa ajili ya kutembea kumbe bwana ile barabara ya Selander bridge inapita hapo. Miti yote ile mikumbwa pembeni imekatwa yote kupisha ujenzi.
Sasa hapo waireplace na palm trees , Itakua safi sana .
Idea nzuri sana, vitu vizito kama hivi
doha-corniche-02.jpg
 
AISEE TANZANIA ni hatari,,,,,we have a more than power hapa africa na dunia,,check mambo hayo utasema hiyo hafla ni ya watanzania,,much thanks south africa we are sppreciate our relationship n more historical branding....halafu wanakuja hapa machokoraa from 254 wanapiga pang'ang'a wakati maisha yao mabovu hawakuwa na mchango wowote na hawana any benefit hapa Africa...
povu ruksa ila mumtizame chuma akiingia kwa uwanja

 
kwa hii hali i swear africa nzima na dunia watakijua kiswahili naona south imeangalia future generation wameanza kwenye mzizi kabisa yaani mtoto akianzia chini ndiyo huelewa zaidi pia kadri anavyokuwa akiwa navutiyari basi kwake lugha ya kiswahili inakuwa easy
 
Back
Top Bottom