Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa itabidi tumeshuka Hadi $99b Kati ya $61b...Tumeipiku Kenya 😋
Kazi yenu kudanganywa with wrong figures😆😆😆😆😆😆
Yani muna maisha ya maigizo kweli
 
The boycotted thing

20190525_125825.jpg
 
jengo zao almost ni wamecopy n paste hawana wabunifu kabisaa ndiyo maana hata shirika lao la taifa la nyumba lipo local
Hatuna ubunifu wakati mijengo zenu zinachorwa na kujengwa na wakenya. Jiangalie!
 
Majengo gani yamejengwa na Wakenya?

Majengo yao Ndio wanajengewa, Kila kitu 🤣, Chinese wamewajengea kila kitu . Hata Tower zao zote . Bora sisi huku Estim ( Local Company) inajenga Tower zetu wenyewe (Tower za Wa tanzania) PSPF zote, PPF HQ, TPA, Morroco Square, Umoja wa Vijana Etc.

Sasa Architect mwenye Office Dar kuchora TPA Miaka kadhaa iliyopita Eti Ndio Tower zetu zote wametuchorea na kutujengea, Wamejenga nini kwa watu wakati wenyewe wanajengewa. What a loss 🤣
 
Kondoo TPA ilijengwa na mkenya... I had to respond to this
Majengo yao Ndio wanajengewa, Kila kitu , Chinese wamewajengea kila kitu . Hata Tower zao zote . Bora sisi huku Estim ( Local Company) inajenga Tower zetu wenyewe (Tower za Wa tanzania) PSPF zote, PPF HQ, TPA, Morroco Square, Umoja wa Vijana Etc.

Sasa Architect mwenye Office Dar kuchora TPA Miaka kadhaa iliyopita Eti Ndio Tower zetu zote wametuchorea na kutujengea, Wamejenga nini kwa watu wakati wenyewe wanajengewa. What a loss
 
Your Dodoma parliament was designed by K&M archplans which is a Kenyan company.
 
Back
Top Bottom