Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Mbagala station ya phase II:hongera kwenu,sisi ndio tunaanza but kwa kasi sana
Mbagala station ya phase II:hongera kwenu,sisi ndio tunaanza but kwa kasi sana
but yetu,iko far far better,modern and bigger than yours
hapa ni Thika Road jamaniSubiri wanaume wakuletee full design ya phase II ndo useme hivyo. Na unachotakiwa kujua ni kuwa ubora wa BRT moja over nyingine unakua kwenye stations, sasa jiulize tangu lini mkawa na stations nzuri kushinda DSM. Kwa bus stations tu meshakuja na render kibao ila mpaka sasa hamuwezi kuthubutu kucompare na hata stations za vijiji vya mikoa.
Cheki kiyu on progress budaa:
https://constructionreviewonline.com/2019/02/tanzania-set-to-commence-phase2-of-bus-rapid-transit/
Barabara chafu, imechakaa kama ninihapa ni Thika Road jamani
View attachment 1108165
Hapa ni wakati ilikuwa ikijengwa jameniBarabara chafu, imechakaa kama nini
Kama hamtabadilisha hii rangi, mshaafeli:Nairobi BRT Buses,Bado zinaendelea kuundwa huko South Africa.
View attachment 1108144
That's your website after allHii picha ni ya thika superhighway alafu unasema progressView attachment 1108250
Wapi bus zinaundwa wapi munajenga BRT😆😆😆😆😆😆😆Nairobi BRT Buses,Bado zinaendelea kuundwa huko South Africa.
View attachment 1108144
Hahaha matopeni
Hahaha [emoji23] [emoji23]Na hii ndio bus stage yao nairobi[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]View attachment 1108360
Vitu ambavyo huwez pata east africa[emoji116][emoji116]
View attachment 1108365View attachment 1108366View attachment 1108367View attachment 1108368
Lazma wapande miti kwasababu ya kuzuia mmomonyoko wa udongoAisee hapo pembeni walipopaacha nilikua najifikiria Kwa nini wasipige Pavements kwa ajili ya kutembea kumbe bwana ile barabara ya Selander bridge inapita hapo. Miti yote ile mikumbwa pembeni imekatwa yote kupisha ujenzi.
Sasa hapo waireplace na palm trees , Itakua safi sana .
[emoji3][emoji3][emoji3]umeuona mchuma wa ekdoret kwa mbaali......Na hii ndio bus stage yao nairobi[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]View attachment 1108360