Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi
5715894902_318615a486_b.jpg
DSC00053.jpg
5775997375_f45e283464_b.jpg
Man vipi leo unatupa uhondo wa picha fitifti toka Nairobi,
This Nairobi, the green city in the sun
18380764_161895777674997_8584623280822943744_n.jpg


Magical Planet at Two rivers
18252027_450233975309710_1540373145783894016_n.jpg


Don't miss out out on Rake it Ralph and the Minions at Two rivers
18161268_859786800860827_3869167528219508736_n.jpg


18251816_1828466600751222_2749618941704798208_n.jpg

 
Tuusan, napenda sana kuona kwamba watu wameanza kujadili hapa mambo bila kuweka ushabiki.

Nchi inapounda miundo msingi raia wake hunufaika, mtu alisema hapa. Baabara mbaya maisha mabaya, sisi tumeamka kwa vifo vya wanafunzi 15 na walimu 4 kule Karatu mkoani Arusha, Mimi kama mwalimu nahusunika, ila hapa ukiangalia sio sana kosa la dereva, wala gari, barabara ndio mbovu, ingekuwa nzuri hawa watu wasingepoteza maisha, wangeenda kujenga uchumi, na wanafunzi baadae kuhitimu na kujenga nchi. Lakini ona sasa, Serikali lazima iwajibike
C_IiHblVoAAKmkm.jpg
Haikuwa sahihi kwako kutumia picha hii kama kujustify anavhotaka kusema hasa kipindi hiki kigumu kwetu watanzania ikiwa hata chanzo cha ajali haukijui.
Kulikuwa na Namna nyingine nyingi za kufikisha hoja yako.
 
Expansion of Ringroad Parklands is causing trouble in Nairobi with tree Lovers, The Heritage of Nairobi as a green city in the sun. But the roads are needed too. Inevitably some trees will go down
C_PZEvcVoAAsh92.jpg


C_PZDt2UIAAqSen.jpg


C_PZEOMUwAAkvx2.jpg
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom