Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ghg.jpg
 
Hizo tatu ziko above 130 metres high, they just tower the others. Kando ya UP kwa hio picha ni Rahimtulla naliko 81 metres, UAP ni twice the size thats why those 3 zinastand out. Pia kuna 98 metre KCB towers hapo but liko dwarfed so hivyo si vibanda, ni kukuwa dwarfed. Nairobi we love trees so there are many buidings kwa hio 'forest' unaona.
Ambazo hazionekani ni vibanda umiza city lazima iwe vertical bana we vp kwan hapo ni residential?
 
Second batch👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿




Saivi kwenye tourism industry Tanzania is regarded as low season lakini this year you can't notice the expected outflow ya watalii because it's absolutely viceversa

It's a hightime now to market lake zone and southern circuit tourism destinations.

Naiona 3$ Billion 💵


Tupo Vizuri 💫
 
Back
Top Bottom