Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jambo lilikua wazi sana kwa mwenye akili. Sasa hivi Uganda haina sababu ya kukopa pesa za kujenga SGR, bora wanunue meli zinazoingiza mabehewa ya SGR ya mizigo ili wafikishe Mwanza.
BTW hii reli inafika Mwanza! Nimeskia kuna mkopo wa WB about to be issued for the remaining sections! Mganda amewadindia!
 
Ndo hizo tu ulizonazo? maana naona unajaza page ya uzi kwa vitu visivyo na maana. Unadhani dunia nzima ni Dar tu ndo huwa kuna maafuriko? hata London na Paris huwa kunatokea maafuriko na sio kwa sababu eti ni umasikini? nah! ni poor drainage systems ambazo ni za hali ya chini for both of our cities sasa nashangaa unavyoweka hizo picha hapo ukidhani kuwa nairobi is any better.
Umeaona nikimention umasikini in my posts? Nilichosema ni kuwa tumewekeza katika miundombinu na mafuriko kwetu hutayaona.
 
😆😆😆😆😆👇👇👇👇 na mombasa pia

Kuna mradi wa kuboresha bonde la mto msimbazi pamoja na kuboresha hapo jangwani pesa kutoka WB tshs 200B kwahyo ilo tatizo likokatika kutatuliwa...
 
Umeaona nikimention umasikini in my posts? Nilichosema ni kuwa tumewekeza katika miundombinu na mafuriko kwetu hutayaona.
na hayo niliyoyaona ni ya wapi? sio nairobi hiyo hadi plates za gari zinaonysha kuwa hapo ni kenya. mmejiweza kivipi? leta hata proposal ya kuimprove drainage system ya nairobi tuone maana sisi ya msimbazi valley naweza kukupa PDF file hata sasa hivi kama ukitaka.
 
Good news barabara ya Tegeta-bagamoyo itapanuliwa 46.9km
Wale tusiopenda kutumia Morogoro road kwenda mikoa ya kask Habari njema Hii
Screenshot_2019-05-14-09-51-47.jpg
 
Kuna mradi wa kuboresha bonde la mto msimbazi pamoja na kuboresha hapo jangwani pesa kutoka WB tshs 200B kwahyo ilo tatizo likokatika kutatuliwa...
Haliwezi kutatuliwa chini ya uongozi wa Yule sharobaro yeye kazi kuu yuaifanya ni kutafuta Kiki tu, Dar yahitaji kiongozi sio yule mzee.
 
na hayo niliyoyaona ni ya wapi? sio nairobi hiyo hadi plates za gari zinaonysha kuwa hapo ni kenya. mmejiweza kivipi? leta hata proposal ya kuimprove drainage system ya nairobi tuone maana sisi ya msimbazi valley naweza kukupa PDF file hata sasa hivi kama ukitaka.
Miaka minne iliopita ,we vipi? Mbona huelewi.
 
Back
Top Bottom