Umeongea kwa weledi sana!!Tuusan, nadhani hapo unawazo, ila ntakukosoa kidogo, hivi vitu vyote unaona vikifanyika Kenya vimewekwa kwenye blueprint ya Vision 2030, na kila moja ina dateline yake. Kuna mipango mahsus ya kuwezesha haya mambo,
1. Ugatuzi - Kwamba nchi ni kubwa hivyo serikali huenda isione ama kujua kila kona, nchi imeganywa kwa gatuzi 47. Gavana anauwezo wa kutatua maswala ya jimbo rahisi kuliko raisi mmoja,
2. CDF Projects, hizi ni projects zina fanywa chini ya mbunge akipewa pesa na Serikali kuu.
Kwa hivi vigezo viwili, Hospitali, zahanati, Shule, Barabara ndogo ndogo, Ujenzi wa polythenique upo kwenye ratiba ya hawa, Kwa sasa, ukipata shule haina viti na madarasa mazuri, hiyo itakuwa taarifa na utasikia mbunge na Gavana wakikemewa,
3.Rural Electrification, Kwenye Blueprint ya Rural electrification by 2018, kila shule itakuwa na stima, kila mtaa wa Kenya hadi Mandera utakuwa na stima, sahi wamefika 85%, ndio maana reli yetu si ya Umeme.
4. Laptop Project- huku mambo ya stima yakiendelea, Laptop project inaendelea, maana ni kwamba ifikapo 2020, kila mwanafunzi darasa la nane atakuwa akifanya mtihani kwenye tarakilishi, 2020 iwe kila mwanafunzi anatumia laptop na amekaa vizuri.
5. Free and easy movement. Every constituency inaunganishwa kwa nyingine kwa barabara nzuri ilibiashara viwe rahisi, kwa sasa kila constituency inamradi wa barabara.
6.Access to water, projects zinafanywa kila upande na wizara ya maji. hii ni kulingana na target kwamba kila Mkenya awe na maji ya mfereji ifikapo 2020.
Mimi nakupa barabara na kadhalika vitu vinavyoonekana, sio kwamba ni hivyo tu vipo
Ukiwa na wakati pitia hii President's Delivery Unit - Home
Ukikua utaacha bado sana ππππTwitter ni ya mature guys with straight arguments...Wewe haikosei uko instagram na fb sana sana
Kukua nikutokua twitter????Ukikua utaacha bado sana ππππ
kwa hyo ya juu kawaida bora useme wingi wa kama hizo ila soon tupo ukoMbona kina Ichoboy na tuusan? Hivi mambo ya miaka ijayo nani anajua vyema, mambo ni sasa, mkija tushinda na iwe hivyo, ila kwa sasa mkubali kwamba bado mpo nyuma zaidi ya inavyojulikana. Ni kheri mngeona aibu kutaja Kenya kwa sasa, Ije hiyo miaka 50 ama 10 mnayosema, mkitushinda, safi, tutajilaumu, kama bado tutakuwa tumewashinda, hilo si hoja, hilo ni kawaida.
mimi siwezi pinga ama kubali mambo ya usoni maana sijui kutazuka nini, hivi twaenda uchaguzi huenda Raila ashindwe azue vurugu ama Uhuruto washindwe wakatalie mamlakani kuzuke vurugu, uchumi wetu uharibike kama 2017.
Ila kwa sasa ubishi huu haufai, Nairobi ipo mbele sana zaidi ya Dar, mimi niliuliza ichoboy hakunijibu, itachukua miaka mingapi Bongo kuwa na vitu kama hivi? Mfano tu
Mtu awe realistic aniambie! Asiseme inajengwa, itajengwa kwa miaka mingapi??
Tanzania is far Away better than any EAC member!! For everything, usipagawe na jangwa
ha haaa safi ni factElewa kwamba maendeleo sio bypass au flyover, Angalia Namibia,Botswana wanabypass?lakini wametuzidi mbali sana....
Wanjala maendeleo yaguse kila mwananchi sio kwa ajili2ya group flani la watu ,ungenikosha zaidi kama ungekita zaidi katika maisha ya wakenya walio wengi kupata huduma za kijamii kama vile wenzetu waliotutangulia wamefanya, uhakika wa chakula,maji safi,shule,elimu,miundombinu nk,
Kama nyie mnabypass sisi tumeopt watoto wamasikini wapate elimu bure na wakae kwenye madawati nani kafanya big move?
Kama sisi tumeopt kujenga maabara kila shule mpya za sekondari na kupeleka walimu wa science wakutosha nyie mnenunua laptop wakat watoto wanakaa chini na hata umeme mna sehemu haujafika nani anaendelea?
Wanjala siku mtayokuja kugundua kwamba yumewazidi itakua too late wewe pagawa na uwanja wa ndege na by pass
Kama hujaishi haya majiji yote mawili huwezi kutoa post ya maana hapa.ntarudi hapaa...but for my little uzoefu na opinion Nai is far better than Jiji letu la makonda....
Itakuepo Dar to Dodoma pia km 490By 2022 we will have a 6 lane hihway from mombasa to Nairobi (475 km) long.....Six lane Mombasa-Nairobi highway to cut logistic costs by 500 percent - Dhahabu
Iyo Itakua Poa...Although nyinyi kusema ni easy than kutendaItakuepo Dar to Dodoma pia km 490
Usiwe na wasiwasi kabisa huu mwaka wataanza phase 1 ambayo itakua Dar -chalinze on 100 M kidogo hivi.Iyo Itakua Poa...Although nyinyi kusema ni easy than kutenda
Tangu 2012 na hata 1 km badoUsiwe na wasiwasi kabisa huu mwaka wataanza phase 1 ambayo itakua Dar -chalinze on 100 M kidogo hivi.
Kuna northen corridor kuanzia Arusha mpaka holili 4 lanes ujenzi unaendelea kwahyo wewe kaa mkao wa kula braza...
Ukishindwa kumiliki ndinga hutafaidi iyo mikeka
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Northern corridor wameshaanza tengeru to Arusha city 14.4kmTangu 2012 na hata 1 km bado
They knw 2020 hawamrudishi jamaa anafunga even his closest allies, dude is busy micromanaging the country with his bashite, investors are closing shop and money circulation is lowHeri kikwete, mara ingine nguvu sio akili
usijipe moyo usifkiri kikwete hatumikii taifa na bado yeye ndio anasafiri kwenda nje kuwamaliza nyinyi kwenye utalii na uwekezaji................majibu mutayapata na mushaanza kuyapataThey knw 2020 hawamrudishi jamaa anafunga even his closest allies, dude is busy micromanaging the country with his bashite, investors are closing shop and money circulation is low
Thats the sound of a loser speaking, tupate ndio muongeeusijipe moyo usifkiri kikwete hatumikii taifa na bado yeye ndio anasafiri kwenda nje kuwamaliza nyinyi kwenye utalii na uwekezaji................majibu mutayapata na mushaanza kuyapata
Ndio nakupa taarifa ufahamu we hujiuliz kwann jamaa hasafiri???? Hasafiri kwasababu mambo ya nje yote anayamaliza kikwete na ndio anaewaua mpaka kesho ππππThats the sound of a loser speaking, tupate ndio muongee
Umeongea kwa weledi sana!!
Raisi wetu yeye ameanza na laptop kwa walimu wa sekondari, Wanakaribia kutoa mikopo kwa vijana katika vijiji vyote nchini mikopo yenye masharti nafuu ambapo watatoa Tsh million 50 kwa kila kijiji
Mbali Ngapi hilo kuhusu umeme mradi wa tatu wa umeme vijijini unaendelea na kwa upande upande mji yote umeme upo kama kawaida na hakuna mgao
Barabara zinapitika zile muhimu kwa asilimia kubwa sana mpaka hivi sasa na zilizobaki wakandarasi wamelipwa nchi nzima kuendelea na ujenzi ili zikamilike kwa wakati
Serikali inapanua viwanja vya ndege vyote muhimu na vile vya mikoani sambamba na kununua ndege
Serikali inatoa fursa kwa wawekezaji kuwekeza katika viwanda na tayari investor zaidi ya 200 wameshaomba na kupata vibali kutoka mataifa mbalimbali
Huduma za afya changamoto za vifaa tiba na dawa pamoja na watumishi ndio imekua changamoto ya muda mrefu sana lakini wanajitahidi kwa kiwango pia japo bado hatujafkia malengo yetu kwa wakat....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app