Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi is Awesome
C_DvybgWAAAu74n.jpg

C_DvybKXkAIRfKK.jpg
 
Wewe Ichoboy, Acha kujiangusha hivi!!! Wewe unaelewa mambo ya Kawe City na 711 towers, mbona unakuja hapa kushabikia, hiyo place imekaa hivyo tangu 2014 huku, hadi sahi, hakuna hata tower moja top out, ata acha, tower, barbara pekee, hakuna moja since 2014, unaona itamazwa lini?? Ama pia walikuwa na Kesi?? ikawamalizia muda???
Ilismama kwa muda na sasa ujenzi unaendelea tuulize sisi tulioko huku tukujibu hahhaahhahaha ngoma zinaendelea tuliza wenge wanjala😀😀😀😀
 
Hata hivyo kama nyinyi mna hii Kawe na Kigamboni New town(Proposed), Kenya inazo tano under construction,

I will only indicate those under construction

Newtown by Cyton
newtown7.jpg

newtown1.jpg

Northland City by the Kenyattas
Kenyatta-Familys-Sh500-Billion-City-Project-in-Ruiru-e1476450110522.jpg

Tatu City
Tata-City-Kenya.jpg

Konza City
_65457745_konza464.jpg

The ridge by Cyton, Cyton has other over ten large scale gated community projects in Nairobi under construction
The ridge is 70% sold
the-ridge-702x300.jpg

Proposed are many and i will not list them, they include New Machakos city
maxresdefault.jpg
Unasema tano tu hahhaahaha huku mbona utakimbia my friend huku ziko zaidi ya 10
 
Tuusan, Utalii Kenya sahi ni ngumu sana, tangu mambo ya Alshabaab, maybe after some five years.

Lakini ni likuwa na maanisha Kenya has its code Name "The lion Economy" Tanzania ni nini??
Tazama hapa
1200px-Kenya_Coat_of_Arms-detail.svg.png
Utalii ndio msahau kabisa haitarudi vile mlivotaka utalii sasa ni Tanzania watalii wanamiminika na bado Vat wameekewa nyie simlitoa
Na lion economy Inasaidia nin??
 
Unasema tano tu hahhaahaha huku mbona utakimbia my friend huku ziko zaidi ya 10
Nimekupa tano tu under construction, siwezi kimbia sababu hakuna project sijui TZ na vile inaenda, ama connected in this field. Mbona husemi kitu juu ya zile picha nimepost sahi, itachukua miaka ngapi TZ kufika hivyo??
 
Utalii ndio msahau kabisa haitarudi vile mlivotaka utalii sasa ni Tanzania watalii wanamiminika na bado Vat wameekewa nyie simlitoa
Ndani ya muda mfupi ujao tukishakua na ndege walah hawa jamaa hawataamini watayoyaona....

Our president knows target,tourism industry contribute alot to our GDP
 
Tena vibaya sana hawataamini hapa walipo hawaamini mambo yalivo ila Tanzania 2020 wataifahamu tusubiri tuone
 
Nimekupa tano tu under construction, siwezi kimbia sababu hakuna project sijui TZ na vile inaenda, ama connected in this field. Mbona husemi kitu juu ya zile picha nimepost sahi, itachukua miaka ngapi TZ kufika hivyo??
Kwan nyie mushafika tayari😀😀😀😀
Au ndoto hizo zinakusumbua mm nakwambia 2020 hutaamini kama hii ndio Tanzania let's wait and see na nitakutafuta tukiwa hai....projects zinazojengwa dar hamtakuja kuamini
 
Tena vibaya sana hawataamini hapa walipo hawaamini mambo yalivo ila Tanzania 2020 wataifahamu tusubiri tuone
Sasa mjue nyie sio wakwanza kusema hivyo kwa Kenya, tangu enzi za Nyerere yani mababu zenu walikuwa wakisema hivyo hivyo, sasa hivi, watoto wenu watakuja sema hivyohivyo, kisha wajukuu, yaani mnapokezana ni kama urithi
 
Ndani ya muda mfupi ujao tukishakua na ndege walah hawa jamaa hawataamini watayoyaona....

Our president knows target,tourism industry contribute alot to our GDP
Trust me Kenyan tourism will bounce back
 
Kwan nyie mushafika tayari😀😀😀😀
Au ndoto hizo zinakusumbua mm nakwambia 2020 hutaamini kama hii ndio Tanzania let's wait and see na nitakutafuta tukiwa hai....projects zinazojengwa dar hamtakuja kuamini

Gani, Ubongo fly over?? 😀😀😀😀😀

Hatujafika, lakini mi nakuuliza, kabla nyie mfike hapo, Kenya itakuwa wapi?? Ongeza miaka tano tu hapo!!
 
Tena vibaya sana hawataamini hapa walipo hawaamini mambo yalivo ila Tanzania 2020 wataifahamu tusubiri tuone
najaribu tu kujiuliza,kama miaka 10 tu ya utawala wa rais kikwete,rais ambaye watz tulimdharau na kumdhihaki kwa upole wake, tanzania imekuwa hivi.

je miaka 10 ya utawala wa raisi magufuli, rais mchapakazi,asiyependa uvivu na mtu mwenye dhamira ya dhati kuiletea nchi maendeleo,tz itakuwa wapi.
 
Heri kikwete, mara ingine nguvu sio akili
 
Sasa mjue nyie sio wakwanza kusema hivyo kwa Kenya, tangu enzi za Nyerere yani mababu zenu walikuwa wakisema hivyo hivyo, sasa hivi, watoto wenu watakuja sema hivyohivyo, kisha wajukuu, yaani mnapokezana ni kama urithi
wanjala wanjala acha uwongi hao mababu zetu uliwajulia wap na walisema lini tuonyeshe ushahidi haoa...

tunapowapita ndyo hapo mshakariri....hayo mambo yashapitwa nawakati
 
Gani, Ubongo fly over?? 😀😀😀😀😀

Hatujafika, lakini mi nakuuliza, kabla nyie mfike hapo, Kenya itakuwa wapi?? Ongeza miaka tano tu hapo!!
Jipe matuamini hvohvo sawa kaka hata miaka 10 iliopita mlisema Tanzania iko nyuma miaka 50 mumesahau jipeni moyo tu😛😛😛
 
najaribu tu kujiuliza,kama miaka 10 tu ya utawala wa rais kikwete,rais ambaye watz tulimdharau na kumdhihaki kwa upole wake, tanzania imekuwa hivi.

je miaka 10 ya utawala wa raisi magufuli, rais mchapakazi,asiyependa uvivu na mtu mwenye dhamira ya dhati kuiletea nchi maendeleo,tz itakuwa wapi.
Waache wajipe moyo tu ndo kawaida yao😀😀
 
Back
Top Bottom