COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Double decker highway from JKIA(commuters will have to pay to use this highway)
Subira gani na sijaona anything wanjala hahhahahahhaha tatizo lako wewe unawenge sanaFanya subra upitie vizuri hiyo sight, unaweza jua mambo mengi sio hilo tu!! Hiyo itakuonyesha kwamba Kenya sio flyover na barabara nzuri tu, bali everything!! Tafuta hapo ina mambo mengi itakuchukua saa nzima
Kenya hatuna uraibu huo! Unaona sisi huwa tunatulia hadi ngoma ianze, hakuna mwenye alikuwa anajua project ya mombasa road hapa, ndio maana unauliza link, plans plans plans, hapana, sisi tunakuletea the real deal
mkuu ntakuuliza kama vile wewe hupenda kuuliza....huamini kama inajengwa au unajitia hamnazo?Sijaona data inayozungumza about anything nilichokuuliza niletee data ya serekali tafadhali wanjala
Excuses sipendagi...We want staffs in progressKua mpole kaka nilishakwambia punguza wenge sisi hatuendi ovyo tunaenda kwa utaratibu kila jambo tunafanya kwa wakati maalumu
Hahahaha kwni we project zilizo huku wazijua vzr??????? Maana usiongee tu kwa kujifurahishaKenya hatuna uraibu huo! Unaona sisi huwa tunatulia hadi ngoma ianze, hakuna mwenye alikuwa anajua project ya mombasa road hapa, ndio maana unauliza link, plans plans plans, hapana, sisi tunakuletea the real deal
Nimekwambia hii nchi inaongozwa kwa utaratibu hatujiendei ovyo tumeanza na gas alaf tunakuja na oil na helium gasExcuses sipendagi...We want staffs in progress
2012 hadi sai na haijaisha...Nyinyini bongolala kweli
Wewe muoga kusoma, ana unaogopa kupigwa butwa kuona mambo wakenya wanafanya!?Subira gani na sijaona anything wanjala hahhahahahhaha tatizo lako wewe unawenge sana
haijaanza2012 hadi sai na haijaisha...Nyinyini bongolala kweli
Hehe nyinyi bongolala tu....Iyo link ya 6 lanes ni ya 2012...Nimekwambia hii nchi inaongozwa kwa utaratibu hatujiendei ovyo tumeanza na gas alaf tunakuja na oil na helium gas
Kua mpole baba😀😀😀2012 hadi sai na haijaisha...Nyinyini bongolala kweli
Uko twitter leo nikuzawadi na twitter handle ya Minister of Infrastructure ujionee mwenyewe hata usiambiwe na mwingine??Kua mpole kaka nilishakwambia punguza wenge sisi hatuendi ovyo tunaenda kwa utaratibu kila jambo tunafanya kwa wakati maalumu
Sina twitter na nataka nikupe link ya budget ya infrastructure ujionee maajabu hujawah kuskia wacha nimalize kula nakujaUko twitter leo nikuzawadi na twitter handle ya Minister of Infrastructure ujionee mwenyewe hata usiambiwe na mwingine??
Fungua hii hapa umeogopa ilekubwa
James Macharia (@JamesMacharia_) | Twitter
Ivo ndio bagamoyo mlisema..Na hivyo ndio sgr yenu mtasema...Bongo lala 2Kua mpole baba😀😀😀
Hauna twitter man....Kwani uko 20th century?Sina twitter na nataka nikupe link ya budget ya infrastructure ujionee maajabu hujawah kuskia wacha nimalize kula nakuja
Sina mpango nayo au unafkiri kutumia twitter pia maendeleo 😀😀😀😀😀Hauna twitter man....Kwani uko 20th century?
SGR ishaanza kaka nimekwambia 2.5 yrs utaona mwenyewe mambo matamu😀😀😀Ivo ndio bagamoyo mlisema..Na hivyo ndio sgr yenu mtasema...Bongo lala 2
Twitter ni ya mature guys with straight arguments...Wewe haikosei uko instagram na fb sana sanaSina mpango nayo au unafkiri kutumia twitter pia maendeleo 😀😀😀😀😀
Grow my friend