ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,860
It won't my friend hio toa kwa akili kabisaTrust me Kenyan tourism will bounce back
It won't my friend hio toa kwa akili kabisaTrust me Kenyan tourism will bounce back
Kwamba tutakua tunawangoja?Trust me Kenyan tourism will bounce back
Ikifika ni tourism kenya is world known ukianzia na the legendary maasai mara to the beautiful diani beaches to the thousands of lake nakuru flamingos......insecurity tu ndo imechangia pakubwa kurudi chini kwa our tourism sector..saa hii lot is being done unimprove the sector and positive signs are showingKwamba tutakua tunawangoja?
Mbele kwa mbele tu hakuna kurudi nyuma
jpm ndio kiboko yenyu,no wonder why kenyans hate him.hapa kazi tu.Heri kikwete, mara ingine nguvu sio akili
Embu jionee aibu basi muda mwingne, mbona unaongea kama umekatwa kichwa?sasa sisi tulio na mlima klm, ngorongoro,tarangire,mikumi,selou,sadani,manyara,katavi,tusemeje?Ikifika ni tourism kenya is world known ukianzia na the legendary maasai mara to the beautiful diani beaches to the thousands of lake nakuru flamingos......insecurity tu ndo imechangia pakubwa kurudi chini kwa our tourism sector..saa hii lot is being done unimprove the sector and positive signs are showing
Tanzania is far Away better than any EAC member!! For everything, usipagawe na jangwaTanzania will never compete kenya......Kenya iko level ingine...Lapset ikiisha the northern kenya(desert) itaanza kuonekana....Turkana pia na Oil itadevelop sai nusu ya kenya(southern,western na coast ) zinatoa about 90% gdp...Northern kenya ikianza kuflow vizuri mtajua kenya vizuri
Bila kusahau SERENGETI & ZANZIBAREmbu jionee aibu basi muda mwingne, mbona unaongea kama umekatwa kichwa?sasa sisi tulio na mlima klm, ngorongoro,tarangire,mikumi,selou,sadani,manyara,katavi,tusemeje?
Kwa uhalisia nyie mmetuzidi jangwa tu and nothing more!!
Hamjulikani....wazungu wengi think Kilimanjaro ipo kenya,kiswahili kinazungumzwa kenya,wildebeest migration ipo kenya..unadhania nini sababuEmbu jionee aibu basi muda mwingne, mbona unaongea kama umekatwa kichwa?sasa sisi tulio na mlima klm, ngorongoro,tarangire,mikumi,selou,sadani,manyara,katavi,tusemeje?
Kwa uhalisia nyie mmetuzidi jangwa tu and nothing more!!
Kama tunapata fedha inatosha nyie mjulikane ambao ni matapeli Hamna loloteHamjulikani....wazungu wengi think Kilimanjaro ipo kenya,kiswahili kinazungumzwa kenya,wildebeest migration ipo kenya..unadhania nini sababu
Sasa unajifagilio kwa kitu kisichokuhusu watu wengne bhan cjui wamezaliw muda kipnd gan unasema wazungu wanaju hvyo ila ww unajua vp na kitu kengne tanzania inajengwa na watanzania hatujakuta masalia ya magorofa sie tumewekeza wenyew hebu sasa hvi kagoogle kitu kinaitw singita grumer nadhan ndo utafunga mdomo wako maan huijui tz weyeeeeHamjulikani....wazungu wengi think Kilimanjaro ipo kenya,kiswahili kinazungumzwa kenya,wildebeest migration ipo kenya..unadhania nini sababu
Kama tunapata fedha inatosha nyie mjulikane ambao ni matapeli Hamna lolote

Kosa la "uchapishaji" but thanks for pointing out. "What are you soo afraid of?" Hapo vp?!naogopa mwili wako kutumia vibaya maana si jambo lenye staha machoni pa jamii kwa mtoto wa kike kuhudumia wanaume wawili mashababi kwa wakati mmoja.
kwa sasa malizana kwanza na mdogo wangu ichoboy01 .baada ya hapo uje kwangu.
najua kwamba wewe ni mbobevu wa lugha ya kingereza kushinda member wote wa jf,ila hapo kwenye "what are you so afraid of" sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kuweka "so" kati ya you na afraid.ilitosha tu kusema "what are you afraid of".
Kosa la "uchapishaji" but thanks for pointing out. "What are you soo afraid of?" Hapo vp?!

Mawazo yako bado mafupi au unafkiri oil hakuna Tanzania tumeanza na natural gas with reserve of over 444 trillion cubic feet, alaf tutakuja oil na madini mengine......Tanzania utaifahamu tuTanzania will never compete kenya......Kenya iko level ingine...Lapset ikiisha the northern kenya(desert) itaanza kuonekana....Turkana pia na Oil itadevelop sai nusu ya kenya(southern,western na coast ) zinatoa about 90% gdp...Northern kenya ikianza kuflow vizuri mtajua kenya vizuri
Elewa kwamba maendeleo sio bypass au flyover, Angalia Namibia,Botswana wanabypass?lakini wametuzidi mbali sana....Mbona kina Ichoboy na tuusan? Hivi mambo ya miaka ijayo nani anajua vyema, mambo ni sasa, mkija tushinda na iwe hivyo, ila kwa sasa mkubali kwamba bado mpo nyuma zaidi ya inavyojulikana. Ni kheri mngeona aibu kutaja Kenya kwa sasa, Ije hiyo miaka 50 ama 10 mnayosema, mkitushinda, safi, tutajilaumu, kama bado tutakuwa tumewashinda, hilo si hoja, hilo ni kawaida.
mimi siwezi pinga ama kubali mambo ya usoni maana sijui kutazuka nini, hivi twaenda uchaguzi huenda Raila ashindwe azue vurugu ama Uhuruto washindwe wakatalie mamlakani kuzuke vurugu, uchumi wetu uharibike kama 2017.
Ila kwa sasa ubishi huu haufai, Nairobi ipo mbele sana zaidi ya Dar, mimi niliuliza ichoboy hakunijibu, itachukua miaka mingapi Bongo kuwa na vitu kama hivi? Mfano tu
Mtu awe realistic aniambie! Asiseme inajengwa, itajengwa kwa miaka mingapi??
![]()
![]()
![]()
Wat about 7 natural wonders of Africa ,kenya inajulikana kwa lipi Tanzania imechukua tuzo tatu out 7, Serengeti,Kilimanjaro na ngorongoro.....wat about kenya??????Ikifika ni tourism kenya is world known ukianzia na the legendary maasai mara to the beautiful diani beaches to the thousands of lake nakuru flamingos......insecurity tu ndo imechangia pakubwa kurudi chini kwa our tourism sector..saa hii lot is being done unimprove the sector and positive signs are showing