Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli akifuta na kuajiri, wabongo wanadhani hiyo ni kazi, hivyo atashinda Kenya kwa miaka kadhaa ijayo, mnavyopiga kelele, Mombasa road inaundwa twelve lane, tulieni tu msubiri maajabu, Mwanzo hii ni toka Athi river interchange hadi Machakos Junction
C--dBPUXkAAGned.jpg

C--dBPXXYAARZKZ.jpg

C--dBPWXYAAxSWj.jpg
 
Ikifika ni tourism kenya is world known ukianzia na the legendary maasai mara to the beautiful diani beaches to the thousands of lake nakuru flamingos......insecurity tu ndo imechangia pakubwa kurudi chini kwa our tourism sector..saa hii lot is being done unimprove the sector and positive signs are showing
And wat about lake natron tanzania were flamingos wanazaliana kuliko sehemu yoyote???????
 
Magufuli akifuta na kuajiri, wabongo wanadhani hiyo ni kazi, hivyo atashinda Kenya kwa miaka kadhaa ijayo, mnavyopiga kelele, Mombasa road inaundwa twelve lane, tulieni tu msubiri maajabu, Mwanzo hii ni toka Athi river interchange hadi Machakos Junction
C--dBPUXkAAGned.jpg

C--dBPXXYAARZKZ.jpg

C--dBPWXYAAxSWj.jpg
Nipe link tena official data from ur gvt
 
Hamjulikani....wazungu wengi think Kilimanjaro ipo kenya,kiswahili kinazungumzwa kenya,wildebeest migration ipo kenya..unadhania nini sababu
Hehe hio ilikua kitambo pole sana sio dunia ile we mzungu unaeza kumdanganya????????? Hebu Leo nieleze vzr mzungu unaeza kumdanganya?????????😵😵😵
 
Magufuli akifuta na kuajiri, wabongo wanadhani hiyo ni kazi, hivyo atashinda Kenya kwa miaka kadhaa ijayo, mnavyopiga kelele, Mombasa road inaundwa twelve lane, tulieni tu msubiri maajabu, Mwanzo hii ni toka Athi river interchange hadi Machakos Junction
C--dBPUXkAAGned.jpg

C--dBPXXYAARZKZ.jpg

C--dBPWXYAAxSWj.jpg
Lane ata ziwe 16 sio tatizo

Mpaka muda huu mikoa yote inatakiwa lami kasoro katavi na kigoma out of 31 region ,express way ya chalinze to Dar sambamba na SGR Ziko mbioni kuanza. .

Issue sio lane 8 au 12...issue ni fursa zakuboresha maisha,Angalia tunaanza kuutilize vizur natural resource kama gas has madini...

Utalii vilevile kwahyo kwa speed hii itafika mahali nyie mtakua na barabara alafu mavidonda vya tumbo

Andaeni barabara lakini msisahau barabara ata 4 zinatosha kama issue Ni usafirishaji pekee na sio anasa
 
i had no idea so much has been done already....man by 2020 sijui nai itakuaje with these projects going on.thanx for the update
 
Lane ata ziwe 16 sio tatizo

Mpaka muda huu mikoa yote inatakiwa lami kasoro katavi na kigoma out of 31 region ,express way ya chalinze to Dar sambamba na SGR Ziko mbioni kuanza. .

Issue sio lane 8 au 12...issue ni fursa zakuboresha maisha,Angalia tunaanza kuutilize vizur natural resource kama gas has madini...

Utalii vilevile kwahyo kwa speed hii itafika mahali nyie mtakua na barabara alafu mavidonda vya tumbo

Andaeni barabara lakini msisahau barabara ata 4 zinatosha kama issue Ni usafirishaji pekee na sio anasa
i think your analysis is somehow skewed...kenya buiding her roads,ports,airports and railway with such aggressiveness does not mean the basic services are left out.we are also investing heavily in education pal
 
Elewa kwamba maendeleo sio bypass au flyover, Angalia Namibia,Botswana wanabypass?lakini wametuzidi mbali sana....

Wanjala maendeleo yaguse kila mwananchi sio kwa ajili2ya group flani la watu ,ungenikosha zaidi kama ungekita zaidi katika maisha ya wakenya walio wengi kupata huduma za kijamii kama vile wenzetu waliotutangulia wamefanya, uhakika wa chakula,maji safi,shule,elimu,miundombinu nk,

Kama nyie mnabypass sisi tumeopt watoto wamasikini wapate elimu bure na wakae kwenye madawati nani kafanya big move?

Kama sisi tumeopt kujenga maabara kila shule mpya za sekondari na kupeleka walimu wa science wakutosha nyie mnenunua laptop wakat watoto wanakaa chini na hata umeme mna sehemu haujafika nani anaendelea?

Wanjala siku mtayokuja kugundua kwamba yumewazidi itakua too late wewe pagawa na uwanja wa ndege na by pass

Tuusan, nadhani hapo unawazo, ila ntakukosoa kidogo, hivi vitu vyote unaona vikifanyika Kenya vimewekwa kwenye blueprint ya Vision 2030, na kila moja ina dateline yake. Kuna mipango mahsus ya kuwezesha haya mambo,

1. Ugatuzi - Kwamba nchi ni kubwa hivyo serikali huenda isione ama kujua kila kona, nchi imeganywa kwa gatuzi 47. Gavana anauwezo wa kutatua maswala ya jimbo rahisi kuliko raisi mmoja,

2. CDF Projects, hizi ni projects zina fanywa chini ya mbunge akipewa pesa na Serikali kuu.

Kwa hivi vigezo viwili, Hospitali, zahanati, Shule, Barabara ndogo ndogo, Ujenzi wa polythenique upo kwenye ratiba ya hawa, Kwa sasa, ukipata shule haina viti na madarasa mazuri, hiyo itakuwa taarifa na utasikia mbunge na Gavana wakikemewa,

3.Rural Electrification, Kwenye Blueprint ya Rural electrification by 2018, kila shule itakuwa na stima, kila mtaa wa Kenya hadi Mandera utakuwa na stima, sahi wamefika 85%, ndio maana reli yetu si ya Umeme.

4. Laptop Project- huku mambo ya stima yakiendelea, Laptop project inaendelea, maana ni kwamba ifikapo 2020, kila mwanafunzi darasa la nane atakuwa akifanya mtihani kwenye tarakilishi, 2020 iwe kila mwanafunzi anatumia laptop na amekaa vizuri.

5. Free and easy movement. Every constituency inaunganishwa kwa nyingine kwa barabara nzuri ilibiashara viwe rahisi, kwa sasa kila constituency inamradi wa barabara.

6.Access to water, projects zinafanywa kila upande na wizara ya maji. hii ni kulingana na target kwamba kila Mkenya awe na maji ya mfereji ifikapo 2020.

Mimi nakupa barabara na kadhalika vitu vinavyoonekana, sio kwamba ni hivyo tu vipo

Ukiwa na wakati pitia hii President's Delivery Unit - Home
 
Sijaona data inayozungumza about anything nilichokuuliza niletee data ya serekali tafadhali wanjala
Fanya subra upitie vizuri hiyo sight, unaweza jua mambo mengi sio hilo tu!! Hiyo itakuonyesha kwamba Kenya sio flyover na barabara nzuri tu, bali everything!! Tafuta hapo ina mambo mengi itakuchukua saa nzima
 
Back
Top Bottom