We love penmanshipNi kama zinaandikwa na watoto wa kindergarten. Haziko smart kabisa, ni nyinyi pekee duniani.
Maumivu ya mwaka nimecheka sana๐๐๐๐๐๐๐๐
Dawa imeingia vzr asante karibu๐๐Hii ndio Tanzania mpya sio Ile ya 90s.