Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma maelezo ukielewa nitag👇👇👇


I mean, don't judge a book by it's cover. Hii ni ya siemens ila kama Yapi Merkezi wako well equipped then why not the orange one?
siemens-locomotives-acs64.jpeg
 
Hivi mbona huwa mnajitia ujinga? Yapi Merkezi ni construction company na inatumia vifaa vyake kufanya testing na hiyo train engine imeandikwa yapi merkezi. I'm sure nilisikia kuwa tanzania ordered trains from Siemens.
Wanajitoa ufahamu😆😆😆😆
 
Watu wamekula pesa wameacha nchi inapumulia mirija ya mikojo😆😆👇👇

 

Population ya Nairobi ni 4M, kati ya hao 60% wanaishi katika slums, ukifanya hesabu unapata ngapi " Slum dwellers"?

Sasa lets talk about Tanzania, has almost a non existent middle class, almost half wanaishi below poverty line,
Hao waTZ wanaishi posh estates pale Dar?
When you start talking about poverty and slums kumbuka, Tanzania si Belgium bruh.
 
Back
Top Bottom