Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuuliza wiye maana wewe ni 255, hio budget ya kujenga reli ni tofauti na ya kununua treni pamoja na mabehewa? Basi jiwe aliwacheza.
Time will tell, kwani unaenda kuzimu? si bado upo? then wait and see. Safari ya kwanza December mwaka huu, I'll make sure niende Moro na kurudi, It'll be history in the making...
 
kwani wewe unadhani "estate" ni nini? maana mtaa ni "street" na huku hakuna mtaa wa mikocheni na mtaa wa oyesterbay bali ni maeneo ya mikocheni na Oyesterbay ambazo ni wards. ona hii, huo ni mtaa huo?View attachment 1091007
Mtaa Una maana zaidi ya hio unayoijua ,mtaa unamaanisha streets lakini mtaa pia unamaanisha kijiji au kitongoji kinachopatikana katika mji mkubwa .
 
Time will tell, kwani unaenda kuzimu? si bado upo? then wait and see. Safari ya kwanza December mwaka huu, I'll make sure niende Moro na kurudi, It'll be history in the making...
Nipo na nitakuepo , nitasubiri uje unipe uhondo safari utakavyo kuwa.
 

Arusha👇👇👇👇👇
C38968F7-591F-4ED9-839E-BB4D411AEC84.jpeg
F83A44C6-599D-4E66-89B3-29DB58D1F7BF.jpeg
BE419E76-0B1D-44BD-8D44-47E892B5D8C2.jpeg
9CC0DC75-B437-47B2-A750-E4672DD6298D.jpeg
6261B9F9-B8C8-40BB-9197-EFA949A455E4.jpeg
 
says a witch!!!!!!!! dua la kuku halimpati mwewe. Mtasema sana.... na SGR ilikuwa ni hivyo pia ila tunapita kama upepo
eti nini SGR yenu ni pesa ngapi inawapea,yetu ni functional yenu bado,shame on you
 
Back
Top Bottom