Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fanya hivi, niletee terminals za "wilson" sio kuleta rooftops, hatupo makao makuu ya the CIA, ukiwa unagoogle, kula hivi kwanza
View attachment 1090901View attachment 1090902View attachment 1090903View attachment 1090905View attachment 1090906

Wilson

1090920
 
hahahahahahahahhaha ona sasa kibera iko ligi moja na estates zenu na hapa kwetu ni makao duni sana,Dar mko chini tu sana
"Estates?", Hizo ni informa settlements. Ukitaka equal fight, linganisha posh areas both in Dar na nairobbery, your call, Msasani peninsula,
8-8 - Copy.jpg
D0PLfl4X4AA_elY.jpg
D0PLfl8XQAAyr_1.jpg
 
Wakenya ni moja ya watu wabinafsi, wachoyo na self-centred sijawahi kuona. Kama mnabaguana kikabila na wakenya wenzenu je Waafrika wengine itakuwaje? Fikiri
Tungekua wabinafsi na self-centred ombaomba wenu tungekua tulishawafukuza kitambo tu lakini Sisi ndio watu wakarimu mno Africa nzima,Nyie kama hasidi wenye husda mtaendelea kutuchukia tu na kututafuta Kwa Shari ila hatupo tayari Kwa Shari zenu.
 
Utawajua paka waoga 🔨 🔨 🤣 🤣 🤣 💊 💊 💣 💣 unajua maana ya terminal? sijakwambia uniletee dessert store sawa? nenda google translate utafute maana ya "terminal" labda English ni tatizo kwako
hio iko humo ndani ya terminal kaka,ama za kwenu hakuna
 
Tungekua wabinafsi na self-centred ombaomba wenu tungekua tulishawafukuza kitambo tu lakini Sisi ndio watu wakarimu mno Africa nzima,Nyie kama hasidi wenye husda mtaendelea kutuchukia tu na kututafuta Kwa Shari ila hatupo tayari Kwa Shari zenu.
Eti wakarimu Africa nzima? ukweli unaujua mwenyewe
 
Jibwa ni nyoko.mbona msitest na bullet maana ndio zitakazotumika?.
We si engineer wewe? au engineer kunya? mbona unaniuliza mimi? maana mimi sio engineer. Na pia, hicho kichwa cha treni ni cha Yapi Merkezi, wanatumia ther OWN equipment kufanya kila kitu. Treni zetu tumeshanunua. Pilippili usiyoila yakuwashia nini? tulia engineer kunya
 
Kivukoni napajua, kwani wards haziwezi zikawa mitaa? You mean mikocheni and oyster bay are not estates?.
kwani wewe unadhani "estate" ni nini? maana mtaa ni "street" na huku hakuna mtaa wa mikocheni na mtaa wa oyesterbay bali ni maeneo ya mikocheni na Oyesterbay ambazo ni wards. ona hii, huo ni mtaa huo?
Screenshot (31).png
 
We si engineer wewe? au engineer kunya? mbona unaniuliza mimi? maana mimi sio engineer. Na pia, hicho kichwa cha treni ni cha Yapi Merkezi, wanatumia ther OWN equipment kufanya kila kitu. Treni zetu tumeshanunua. Pilippili usiyoila yakuwashia nini? tulia engineer kunya
Nakuuliza wiye maana wewe ni 255, hio budget ya kujenga reli ni tofauti na ya kununua treni pamoja na mabehewa? Basi jiwe aliwacheza.
 
Back
Top Bottom