Majaribio sasa👏👏👏👏👇👇👇
Yapi markezi
These guys aint joking!
Majaribio sasa👏👏👏👏👇👇👇
Yapi markezi
if you have no idea you tanganyikas, hio barabara in front of one Africa place, that is heading to GTC Towers dyo inajengwa hiviOne Africa Place, the blue building. Then nyuma yake kuna Headquarters za Oracle za Africa. Oracle, the big tech company ya Larry EllisView attachment 1090153on
hio barabara after two years from now 😍Lakini westlands is shapping up View attachment 1090156vizuri
Si dhambi kujiliwaza ila dunia nzima inajua ombaomba waliopo Kenya wanatoka Tanzania.Ombaomba ni wenu sema munakwepa aibu kwa marekani kuonekana ni MLDC alaf hohe hahe
Chukua dawa ukapumzike
Mombasa si ligi ya Dar,mombasa moto🔥
Hatunaga tabia za kuwafukuza wafrica wenzetu , maana tuna moyo wa utu,pia twaelewa yale maisha magumu kule kusini na ndio maana twawawacha ili tuzidi kuwapa mapeni angalau pia wakirudi kwao waweze kuishi maisha ya hadhi na pia wainue uchumi wa nchi yao.Haha ati omba omba,kwann msiwarudishe kwao? Au muwape kibarua wakijwamue
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mzee mengi Mungu akujalie pumziko la Amani ,tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.Kifo chako ni pigo kubwa Kwa masikini uliowapenda na kujitolea kuwasaidia,na haswa watu wa machame na Moshi nzima,Tuusani njoo tuomboleze Dr.
Barabara ya 4 lanes? labda kwasababu kwenu ni kama muujiza ndio mnashangaa.Mombasa si ligi ya Dar,mombasa moto🔥
View attachment 1090850
View attachment 1090851
View attachment 1090852
View attachment 1090854
Wakenya ni moja ya watu wabinafsi, wachoyo na self-centred sijawahi kuona. Kama mnabaguana kikabila na wakenya wenzenu je Waafrika wengine itakuwaje? FikiriHatunaga tabia za kuwafukuza wafrica wenzetu , maana tuna moyo wa utu,pia twaelewa yale maisha magumu kule kusini na ndio maana twawawacha ili tuzidi kuwapa mapeni angalau pia wakirudi kwao waweze kuishi maisha ya hadhi na pia wainue uchumi wa nchi yao.
We ni hesabu tu inafanya,quality dio nataka uone kakaBarabara ya 4 lanes? labda kwasababu kwenu ni kama muujiza ndio mnashangaa.
Unataka kusema Dar hakuna barabara zenye quality ama ni nini unataka kusema?We ni hesabu tu inafanya,quality dio nataka uone kaka
from google maps
fanya hivi, leta ka hii exactly nioneUnataka kusema Dar hakuna barabara zenye quality ama ni nini unataka kusema?
Nilete "hiyo exactly"nini? majengo? unajua mimi sina muda wa kuchukua screenshots za mabati ya nyumba kama wewe? Wakenya hamna kitu kinachoitwa time management. Unatumia muda wako kusscreenshot mabati ya nyumba hahahahahahahahahahhahha mimi ninacheka hapa nilipo we acha tu
Fanya hivi, niletee terminals za "wilson" sio kuleta rooftops, hatupo makao makuu ya the CIA, ukiwa unagoogle, kula hivi kwanzathe most busiest airport in east and central Africa,Wilson
View attachment 1090892
View attachment 1090893
hahahahahaha😂😂😂😂 hakuna barabara za kisasa huko Tz,mabati ni wewe ebu cheki google maps ya estates zenu,kwani hii city ni mzee aje,si afadhali mpake rangiNilete "hiyo exactly"nini? majengo? unajua mimi sina muda wa kuchukua screenshots za mabati ya nyumba kama wewe? Wakenya hamna kitu kinachoitwa time management. Unatumia muda wako kusscreenshot mabati ya nyumba hahahahahahahahahahhahha mimi ninacheka hapa nilipo we acha tu