TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Mtakopa wapi safari hii??Pia tnajenga kama hii from September this year,it will be a double decker
View attachment 1086465View attachment 1086466
Mtakopa wapi safari hii??Pia tnajenga kama hii from September this year,it will be a double decker
View attachment 1086465View attachment 1086466
Mengi sana kuliko hizo 3 towers mnazopigia picha angle zoteKwanza nairobi kuna majengo gani yakushtua watu kamji bado kadogo sana hakuna density ya maana, yani nairobi ishinde dar kwa majengo marefu nenda upimwe mkojo 😆😆
Leta picture tuione
Mengi yakwapi kwa density ipi😆😆😆😆 wakat mwengine ukikosa hoja bora unyamazeMengi sana kuliko hizo 3 towers mnazopigia picha angle zote
Naona wasafi walivyoikamata Kenya .
Wapi hiyo!?, Camera ya simu gani unatumia!?
hii ndiyo inakuja kuwa nambari mojaThe third biggest hospital in east africa after muhimbili and kenyatta hospital
👇👇👇👇👇👇
View attachment 1086808
The third biggest hospital in east africa after muhimbili and kenyatta hospital
👇👇👇👇👇👇
View attachment 1086808
Maskini ya MUNGU😆😆😆😆😆hii ndiyo inakuja kuwa nambari moja
K.U hospital East Africa
View attachment 1087107
View attachment 1087108View attachment 1087109
One pic is enough👇👇👇👇Nairobi fourways junction estate
View attachment 1087094
View attachment 1087096View attachment 1087094View attachment 1087096
Ulishawahi kuisikia hospital ya mlonganzila? Hebu kagooglehii ndiyo inakuja kuwa nambari moja
K.U hospital East Africa
View attachment 1087107
View attachment 1087108View attachment 1087109
Hapa kwa mbele kwenye flats, kuna demu mkali alikuwa anaitwa Gloria basi tukawa tunapenda kwenda kucheza kombolela mitaa hiyo tukijificha nae kwenye kibanda cha mlinzi da! utoto raha sana.
leta bed capacity tlinganisheUlishawahi kuisikia hospital ya mlonganzila? Hebu kagoogle
Ulishawahi kuisikia hospital ya mlonganzila? Hebu kagoogle