Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

images (8).jpeg
images (7).jpeg
 
Yah,u see,each and every city has its messy sides,,so tuwache kujibizana na unplanned houses na slums,,instead let's focus on beautiful places which can market our countries positively,, will come to visit TZ some day,have got good friends from there
Now you are talking
 
You should understand that it's not always about competing. Just because we post a road, doesn't mean that you have to post another road. What I have realized is that when Tanzanians are here, without Kenyans around, it's all about maendeleo and positive attitudes but the minute you people bring your crap here, all you want is comparisons. If you think you are good, don't spend so much time trying to prove it kwani kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Mnaona maendeleo yanafanyika TZ inawachoma mnaona mtafute comeback, please, kuweni watu wazima n wenye kujielewa, kama unapost nairobi, post tu sio kuanza kucompare na Dar au chochote kuhusu TZ
 
Now you are talking
You know what,this issue ya kupoteza wakati tukijibizana eti vile Kenya/TZ ni mbaya haisaidii,is better we showoff greater sides of our countries so we can visit each other na hivyo tutaendeleza hizi countries zetu,by the away have seen TZ is a very beautiful country and I would like to visit TZ one day
 
Actually this is not a good Thing. Gridlock! Not a good thing at all. Ask Chamoto , had a very good explanation about this kind of Traffic .
Kweli,hilo dilo serikali inajaribu kutatua mijini yote hapa Kenya kwa kujenga bypasses na expressways
 
Kijana,hapa Kenya tuko self employment,, umewahi sikia kitu inaitwa SMEs,tumejaa huko
Hahahahaha, any legal activity that bring income is regarded as employment by ILO, that's why peasants are regarded to have employment, other wise Kenya unemployment would be 80%.
 
Hahahahaha, any legal activity that bring income is regarded as employment by ILO, that's why peasants are regarded to have employment, other wise Kenya unemployment would be 80%.
Sasa wataka kumaanishi 40% huwa usingizini,hakuna kazi wao hufanya,
 
Kuna ndugu yako mjinga hapo juu anadai majengo marefu hayana faida sasa hili unatuongesha la nini?Acheni ujinga uungwana ni kukubali kushindwa na kujipanga upya
Kwanza nairobi kuna majengo gani yakushtua watu kamji bado kadogo sana hakuna density ya maana, yani nairobi ishinde dar kwa majengo marefu nenda upimwe mkojo 😆😆
 
Kweli,hilo dilo serikali inajaribu kutatua mijini yote hapa Kenya kwa kujenga bypasses na expressways
Labda utuoneshe express way walau km1 kama BRT mulichora barabara ovyo ovyo 😆😆😆😆😆😆
 
Sasa wataka kumaanishi 40% huwa usingizini,hakuna kazi wao hufanya,
Ukisoma vizuri ripoti za ILO zinachikulia mtu mwenye ajira ni yule ambaye anayo activity onayomuingizia kipato halali japo yenye kudumu kuanzia miezi sita au zaidi.

Ukipata kazi ya siku chini ya muda huo na hujui nini utafanya baada ya hiyo kazi kwisha, basi wanakuweka katika kundi la unemployed.
 
Asante sana, unaongea kama Economist kabisa
 
Back
Top Bottom